Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Juzi nimekaa Car wash kwa mwanangu Changanyikeni ikapita ile BMW ya Jux li 750i flani jeupe linakunya Moshi like a joke...Huko chini utadhani kuna wapiga ngoma ni kulukulu za kutosha.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nikajisemea moyoni ustaa mzigo wa mwiba
Magari yote makubwa (7series,S class etc) kwa used ni cheap to buy lakini kuishi nalo si shughuli ya kitoto. Kama uko vizuri kiuchumi unachukua huku umetenga bajeti chochote kikitokea unarekebisha. Ila kama ni mwenzangu na mimi utalifaidi miezi michache ya mwanzo tu likianza kudai matunzo linakushinda.
 
Mimi huyu ninunue Dualis ? ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ

Nachukue kidenge cha chini tu Fuga yenye VQ35 ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ.. japo vipo vipo ila sio kama athlete ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.. ila crown tamu sanaa.. sema ndio ivyo.. japo nitarudi hapo siku za usoni kwa baba yao Majesta..
Hahah rudi nyumbani(kwa mjep) kumenoga.

Safi sana choice iko poa,mimi napendelea VQ 35 ikiwa kwny nissan skyline coupe(napenda coupe car sana),ile skyline saloon siipendi ina sura mbaya sana.
 
Kukuongezea tu sio miaka 10 tu, na km zina matter kwenye maisha ya vipuri. Mfano gari ya miaka 5 iliotembea km160,000 haiwezi kuwa bora kuliko gari ya miaka 15 iliotembea km 70,000. Changamoto kuwa na uhakika na hizo km.
Ni kweli, siku hizi wahuni wanachakachua sana km.. sio bongo tu hadi ulaya.. ila naona nchi za Europe wana sheria kali kwenye hilo eneo ukiotewa ni msala. Kuna video moja niliona youtube wanaelezea hiyo kitu. Kwenye KM ni nzuri naona uikute gari ikiwa chini ya 80,000. Huwa nala nyingi zinakuwa na hali nzuri
 
Magari yote makubwa (7series,S class etc) kwa used ni cheap to buy lakini kuishi nalo si shughuli ya kitoto. Kama uko vizuri kiuchumi unachukua huku umetenga bajeti chochote kikitokea unarekebisha. Ila kama ni mwenzangu na mimi utalifaidi miezi michache ya mwanzo tu likianza kudai matunzo linakushinda.
Hahahahah hio midude tuwaachie wajukuu wa Hitler tu. Wengi vipato vyetu tunavijua. Gari inaweza zingua repair costs zinafika 10M na ni vitu vichache tu.

Wakati mjepu ukitia 1.5M gari inarudi upya na mpaka ifikie huko maana umeli abuse vya kutosha.
 
Hahah rudi nyumbani(kwa mjep) kumenoga.

Safi sana choice iko poa,mimi napendelea VQ 35 ikiwa kwny nissan skyline coupe(napenda coupe car sana),ile skyline saloon siipendi ina sura mbaya sana.
Hata mimi, Skyline hazijanibariki sana.. wana yale ma skyline GTR yanapuyanga hadi 340 kama sikosei, nilikuwa nayatamani.. ili kila nikipiga hesabu za pesa ngoma inagonga mwamba naishia kuziona na kuzitamani na kuzisifia tu
 
Ni kweli, siku hizi wahuni wanachakachua sana km.. sio bongo tu hadi ulaya.. ila naona nchi za Europe wana sheria kali kwenye hilo eneo ukiotewa ni msala. Kuna video moja niliona youtube wanaelezea hiyo kitu. Kwenye KM ni nzuri naona uikute gari ikiwa chini ya 80,000. Huwa nala nyingi zinakuwa na hali nzuri
Hahahah huu mchezo lazma niufanye lakini. Mi gari yangu imegonga 200+ ila siku nikiiuza lazma nipunguze hadi 90 au 80+ bila hivyo najua watu watanletea mapozi ila i'll ensure iko as clean as new. Mi niliuziwa ikiwa 170+ ila iko fully functional as just imported.
 
Mkuu s550 ya 2015 sio ya mtu wa uchumi wa kati. Hio ni league ingine kabisa. Kuna watu wa uchumi wa kati wanajilipua na s350 au s320 za miaka 10+ iliopita, nawaona kinachowapata kila siku.
Hahaha share uzoefu kidogo wa kinachowapata washkaji mkuu

Mimi nilishaikuta S350 ya 2007(kama nakumbuka vzr) garage jamaa ameisusa ilikua imezingua airmatic ndani ya muda mfupi akawa anasema anatafuta pesa aweke coil spring lkn hapohapo analalamika akisema quality ya ride itakua changamoto wkt ile gari ni ya kiboss.
 
Duh sasa Subaru nazo zishakuwa kama IST...kuna vile vi imprezza cc1500 vimeingia kibao,hizi Forrester XT nazo zimekuwa jezi. Kifupi gari ikikubalika na ikiwa bei ya kati 10-20m zitajaa tu hapa dawa yake uingie kwa magari ya mzungu ndio mtakuwa wachache ingawa na huko nako watu woga umeisha wanajilipua.
Kuhani Noah
Gari ikishakuwa 10-20m lazima ziwe nyingi. Na value yake huwa inashuka haraka sana.. na ndio mkononi kwa mtu unaichukua hata kwa 4 million, hizi crown zipe mwaka mmoja wa ziada.. utaona.. Gari ambazo hazina watu wengi hata kama bei chee ni zenye engine za V8, lakini kwa brand kama brand karibia zote zimezagaa
 
Mimi huyu ninunue Dualis ? ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ

Nachukue kidenge cha chini tu Fuga yenye VQ35 ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ.. japo vipo vipo ila sio kama athlete ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.. ila crown tamu sanaa.. sema ndio ivyo.. japo nitarudi hapo siku za usoni kwa baba yao Majesta..
Kaa kwa V8 Majesta 3UR -FE mnyama 4.3L vvti!
Lile dude hatari mzee kwa wanaopenda ligi mle lazma wapasue mapafu ya gari.
 
Hahaha share uzoefu kidogo wa kinachowapata washkaji mkuu

Mimi nilishaikuta S350 ya 2007(kama nakumbuka vzr) garage jamaa ameisusa ilikua imezingua airmatic ndani ya muda mfupi akawa anasema anatafuta pesa aweke coil spring lkn hapohapo analalamika akisema quality ya ride itakua changamoto wkt ile gari ni ya kiboss.
Ukiona una gari, alafu imeharibika.. ili uilekebishe hadi ujichange change.. ujue imeisha kushinda hiyo ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Hahaha share uzoefu kidogo wa kinachowapata washkaji mkuu

Mimi nilishaikuta S350 ya 2007(kama nakumbuka vzr) garage jamaa ameisusa ilikua imezingua airmatic ndani ya muda mfupi akawa anasema anatafuta pesa aweke coil spring lkn hapohapo analalamika akisema quality ya ride itakua changamoto wkt ile gari ni ya kiboss.
Hahahahah sasa Air suspension ya Benz unadhani kitoto ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ sema huwa lina muungurom mtamu sana hilo dude. Kuna jamaa yangu mmoja analo huwa napenda mziki wake tu ndani mziki umejaa kinoma yani very crisp and clean bass!

Huitaji kufunga madumu ya Dicksound.
 
Ila ili uzipate hizo 301HP si lazima u slam gas pedal mkuu? Utajikuta unarudi kule kule kwenye gas guzzler.

Wakati hata 3.5L tu inakuwa very smooth kuipata hio 301HP.
Smoothness is the key mkuu,ndio maana engine kubwa ni mpango mzima.

Na ili Turbo ifanye kazi yake lazima machine iwe kwny high rpm hapo wese lazima lilike sana tu ingawa zipo gari ambazo rpm ikiwa 2000 tu zinaanza kufanya yake lkn inakua haina mzuka kulinganisha na ikiwa kwny high rpm.
 
Hahahahah gari ikianza kula kwenye 2 ujue throttle body imechafuka tayari ๐Ÿ˜‚ au plug mbovu. Kama gari inakula wese kwenye 2 rpm na si Subaru wahi kwa fundi
 
Kaa kwa V8 Majesta 3UR -FE mnyama 4.3L vvti!
Lile dude hatari mzee kwa wanaopenda ligi mle lazma wapasue mapafu ya gari.
Nilipenda sana nilichukue hili, ila nalivutia kasi.. nitajipa zawadi mwisho wa mwaka.. Mungu akijalia๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚.. na nina hisi ndio gari nitayo kaa nayo mda mrefu..
 
Back
Top Bottom