RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Magari yote makubwa (7series,S class etc) kwa used ni cheap to buy lakini kuishi nalo si shughuli ya kitoto. Kama uko vizuri kiuchumi unachukua huku umetenga bajeti chochote kikitokea unarekebisha. Ila kama ni mwenzangu na mimi utalifaidi miezi michache ya mwanzo tu likianza kudai matunzo linakushinda.Juzi nimekaa Car wash kwa mwanangu Changanyikeni ikapita ile BMW ya Jux li 750i flani jeupe linakunya Moshi like a joke...Huko chini utadhani kuna wapiga ngoma ni kulukulu za kutosha.๐๐๐ Nikajisemea moyoni ustaa mzigo wa mwiba