Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Vitz,Passo,IST unfollow you,😃😃😃😃😃.
 
Hahah daah hapo ndipo mmiliki atakuja kujua hajui.
 
Safi. Huwa na Rav 4 zetu tunashindana sana tu na maVx.. Yanatuzidi kwenye tambarare tunayakuta kwenye kona na 50.
 
Kwa hio kinachoasaidia rav 4 kwenda sambamba na V8 ni sababu ya tochi sio mkuu?
1. Dereva
2. Confidence na gari yako (tyre, alignment and balance (stability)
3. Unaifahamu barabara.. unajua wapi kuna kona, wapi kuna tochi-50 zingine unazikata
4. Sababu ulizozisema.. Road condition haziruhusu speed zaidi ya 160 kwa gari karibu zote.. means kila gari inauwezo wa kwenda sambamba as long as driver yupo vzr.
 
Hapo kwny 'means kila gari inauwezo wa kwenda sambamba as long as driver yupo vzr.'

Sio kweli mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…