Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Kuna raha ya kuwa na gari ambayo ina ma nguvu ya kutosha.. hata barabarani unakuwa unajiamini yani.. sure sipendi kukaa na gari mda mrefu huwa nachoka.. ila kwa majesta nitakaa nayoo.. na ni kwasababu V8 siku nabadili hapo naenda V8 ya juu kabisa.. SUV ya maana hasa RR.. furaha yangu kuwa na gari yenye CC za kibabe nguvu ipo yani huwa na enjoy sana
Vitz,Passo,IST unfollow you,😃😃😃😃😃.
 
Af Benz huwa zinabadilishwa technology kila toleo ndio ubaya, yani kila mwaka wa upgrade technology sio kama Toyota inabadilishwa taa na bumper tu.😂

Unakuta vipuri vya jamii ya Corrolla vinaingiliana kwenye gari zote. Raum, Runx, Spacio, Vits yani tofauti ni size tu kwanini spear zisiwe rahisi? Ila kitu cha benz S class huwezi kukiweka kwenye C class au E class!
Hahah daah hapo ndipo mmiliki atakuja kujua hajui.
 
Baada yakujifunza kwa muda kidogo, nimegundua the only thing that matters is who is behind the wheel

Ukiacha magari yenye 260/240, haya mengine yenye 180 yatatofautiana kuchanganya tuu.. kama dereva mzuri hata ist inaingia kwenye ligi na magari mengi tu ya 180.

Ila kuhusu Passo sifahamu jamani..

Hawa wa 260/240 nao hakuna barabara Tanzania wanazoweza kuexercise full potential ya gari kwa angalau dk 5 mfululizo. Huweziendesha kwa 240 kwa dk 5-10 bila kukuta tuta, kivuko cha wanyama, humps, askari wa barabarani, hifadhi wala kona yakukutaka upunguze mpaka hata 80.

Wanaishia kuendesha 160, wananusa extreme (240/260) kwa sekunde 9-23 wanarudi 100-80, ambapo kwa wastani wa safari nzima ni speed 140-160 ambayo ist inatembea vizuri tuu..

The only thing that matters is who is behind the wheel
Safi. Huwa na Rav 4 zetu tunashindana sana tu na maVx.. Yanatuzidi kwenye tambarare tunayakuta kwenye kona na 50.
 
Kwa hio kinachoasaidia rav 4 kwenda sambamba na V8 ni sababu ya tochi sio mkuu?
1. Dereva
2. Confidence na gari yako (tyre, alignment and balance (stability)
3. Unaifahamu barabara.. unajua wapi kuna kona, wapi kuna tochi-50 zingine unazikata
4. Sababu ulizozisema.. Road condition haziruhusu speed zaidi ya 160 kwa gari karibu zote.. means kila gari inauwezo wa kwenda sambamba as long as driver yupo vzr.
 
1. Dereva
2. Confidence na gari yako (tyre, alignment and balance (stability)
3. Unaifahamu barabara.. unajua wapi kuna kona, wapi kuna tochi-50 zingine unazikata
4. Sababu ulizozisema.. Road condition haziruhusu speed zaidi ya 160 kwa gari karibu zote.. means kila gari inauwezo wa kwenda sambamba as long as driver yupo vzr.
Hapo kwny 'means kila gari inauwezo wa kwenda sambamba as long as driver yupo vzr.'

Sio kweli mkuu.
 
Back
Top Bottom