East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,783
- 6,058
Subaru hapana.. Nachukua Nissana.. gari zangu pendwa ni za kutoka ( Toyota, Nissan ) uchumi wa kati. Niki improve kidogo naanza chezea ( Ma Vogue Autobigraphy, Range Rover vela au Sport ) ๐๐.. ila kwa sasa napambana na Toyota na NissanHahahaha unataka kununua Subaru nini maana wote wanaochange upepo kutoka Toyota wanakimbilia Subaru