Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Hahahaha unataka kununua Subaru nini maana wote wanaochange upepo kutoka Toyota wanakimbilia Subaru
Subaru hapana.. Nachukua Nissana.. gari zangu pendwa ni za kutoka ( Toyota, Nissan ) uchumi wa kati. Niki improve kidogo naanza chezea ( Ma Vogue Autobigraphy, Range Rover vela au Sport ) ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.. ila kwa sasa napambana na Toyota na Nissan
 
Duh sasa Subaru nazo zishakuwa kama IST...kuna vile vi imprezza cc1500 vimeingia kibao,hizi Forrester XT nazo zimekuwa jezi. Kifupi gari ikikubalika na ikiwa bei ya kati 10-20m zitajaa tu hapa dawa yake uingie kwa magari ya mzungu ndio mtakuwa wachache ingawa na huko nako watu woga umeisha wanajilipua.
Kuhani Noah
 
Sasa mkuu ukifanya kosa ukakimbia Athlete afu ukaenda kwenye dualis mchezo unarudi palepale kwny sale sale maua,hahah
 
Hahahahah zama kwenye benz walau S550 ukipata ya 2015 mwake sana! Kama kweli upo serious na mjerumani.

Tule tu Subaru Impreza sijawahi kukapenda, kana uso umekaa kama slay queen kafumaniwa na shemeji. Bora hata zile model za 2013 atleast ziko utamu.
 
Hako ka Dualis katapita tu kama ufugaji wa kware...Wabongo wakianza kuzitemba zitauzwa bei ya mbuzi sana
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ katapita kama nini mkuu?hahahahah

Kweli hapa mjini zimekua nyingi sana mkuu,ungekua wewe let's say option iliyoko ni nissan tu ungechukua ipi boss?
 
Sasa mkuu ukifanya kosa ukakimbia Athlete afu ukaenda kwenye dualis mchezo unarudi palepale kwny sale sale maua,hahah
Mimi huyu ninunue Dualis ? ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ

Nachukue kidenge cha chini tu Fuga yenye VQ35 ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ.. japo vipo vipo ila sio kama athlete ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.. ila crown tamu sanaa.. sema ndio ivyo.. japo nitarudi hapo siku za usoni kwa baba yao Majesta..
 
Fuga huzioni kwasababu nyingi zishakufa!
 
Napenda gari yenye nguvu ila CC ndogo.

Mf. CC 2000 inaweza kupa 301 hp wakati ukitaka hiyo power kwa natural aspirated lazima uanzie 4.4 L V8. Which must be a gas guzzler.
Ila ili uzipate hizo 301HP si lazima u slam gas pedal mkuu? Utajikuta unarudi kule kule kwenye gas guzzler.

Wakati hata 3.5L tu inakuwa very smooth kuipata hio 301HP.
 
Mkuu s550 ya 2015 sio ya mtu wa uchumi wa kati. Hio ni league ingine kabisa. Kuna watu wa uchumi wa kati wanajilipua na s350 au s320 za miaka 10+ iliopita, nawaona kinachowapata kila siku.
Huwez amini hio Benz naielewa kinoma yani. Hii ndio chuma inaweza nitoa kwa mjapani si vinginevyo.

Hahahah hizo gari wabongo hawaziwezi, ubishi tu! Juzi nimekaa Car wash kwa mwanangu Changanyikeni ikapita ile BMW ya Jux li 750i flani jeupe linakunya Moshi like a joke...Huko chini utadhani kuna wapiga ngoma ni kulukulu za kutosha.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nikajisemea moyoni ustaa mzigo wa mwiba
 
Fuga huzioni kwasababu nyingi zishakufa!
Ni kweli hata watu wanaziuza kwa bei ya kuogopwa. Nahisi matunzo yetu na kutokufatilia gari kwa ukaribu nalo ni tatizo letu wabongo wengi na inakuwa rahisi sana kuziua hizi gari, + gharama ya vipuli. Na gari used napenda zaidi kuchukua ambayo toka imetoka kiwandani haijazidi miaka 10.. kama kwa sasa hivi najipinda nichukue ambayo imetoka kuanzi 2011 au 2012 +.. ila sio chini ya 2010.. hata maisha ya vipuli vingi ni miaka 10.. hiki kitu nilijifunza humu JF na nimekuwa nakizingatia sana
 
Jamaa washakapandisha ushuru hako soon zitapungua.
Nmeona taarifa hizo juzi kwenye status ya mtu ila sijaona ikisambaa ile habari, IST nazo zimepandishwa ushuru ๐Ÿ˜‚
 
Inabidi uwe vizuri kiuchumi.
Juzi nimekaa Car wash kwa mwanangu Changanyikeni ikapita ile BMW ya Jux li 750i flani jeupe linakunya Moshi like a joke...Huko chini utadhani kuna wapiga ngoma ni kulukulu za kutosha.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nikajisemea moyoni ustaa mzigo wa mwiba
 
Huwez amini hio Benz naielewa kinoma yani. Hii ndio chuma inaweza nitoa kwa mjapani si vinginevyo.

Hahahah hizo gari wabongo hawaziwezi, ubishi tu! Juzi nimekaa Car wash kwa mwanangu Changanyikeni ikapita ile BMW ya Jux li 750i flani jeupe linakunya Moshi like a joke...Huko chini utadhani kuna wapiga ngoma ni kulukulu za kutosha.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nikajisemea moyoni ustaa mzigo wa mwiba
Miba ya u star ukiubeba unaumia.. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ S class ni zaidi ya gari..
 
Ni kweli hata watu wanaziuza kwa bei ya kuogopwa. Nahisi matunzo yetu na kutokufatilia gari kwa ukaribu nalo ni tatizo letu wabongo wengi na inakuwa rahisi sana kuziua hizi gari, + gharama ya vipuli. Na gari used napenda zaidi kuchukua ambayo toka imetoka kiwandani haijazidi miaka 10.. kama kwa sasa hivi najipinda nichukue ambayo imetoka kuanzi 2011 au 2012 +.. ila sio chini ya 2010.. hata maisha ya vipuli vingi ni miaka 10.. hiki kitu nilijifunza humu JF na nimekuwa nakizingatia sana
Kukuongezea tu sio miaka 10 tu, na km zina matter kwenye maisha ya vipuri. Mfano gari ya miaka 5 iliotembea km160,000 haiwezi kuwa bora kuliko gari ya miaka 15 iliotembea km 70,000. Changamoto kuwa na uhakika na hizo km.
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ katapita kama nini mkuu?hahahahah

Kweli hapa mjini zimekua nyingi sana mkuu,ungekua wewe let's say option iliyoko ni nissan tu ungechukua ipi boss?
Kimsingi mi Nissan naziogopa mkuu, hasa vipuri vyake aghali sana sema kwa hako ka Dualis inaonekana vipuri vyake sio ghali ndio maana watu wanazinunua kwa fujo. Maintanance ya 1.5L car huwa iko chini mara nyingi.
 
Back
Top Bottom