Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Dqh nazidi kufuatilia hadi naogopa

Sent from my SM-A146P using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwanini hakuna mahali popote Chenge na Rostam wana picha ya pamoja je Hayati lowasa na chenge?

na hawa tunaambiwa ni marafiki?
Tunaweza tukajua kwanini hawakutaka picha ya pamoja?
Hakika Mshana Jr Picha zina siri
 
Umewaza mbali
 
hakika lema hakutaka unafiki. Hapa

Kakosa Maturity na hawezi kuwa mwanasiasa bora. It is not about being honest ; it is about politics .

Mbowe anayo maturity japo sikubaliani na sera zake . Hata speech yake ya msibani ilionesha anayo intellectual mind

Lema hana tofauti na makonda kiakili na kimtazamo
 
Mbowe anayo maturity japo sikubaliani na sera zake . Hata speech yake ya msibani ilionesha anayo intellectual mind
 
yeap na hii itamgharimu kisiasa in long run
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…