Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Naona umemkomalia jamaa ili ubebe ujiko kupitia kwake...Siamini kama mmeelewa alichoandika maana ya Picha kuongea hebu rudia mstari kwa mstari ile page ya 1 soma ukiwa na mawazo huru then utaelewa alimaanisha nini Tatizo lenu wadanganyika hamfuatiliagi vitu Deeply... hata kama kitu hukipendi wee soma tu...Kuna kitu utapata hata kama ni 1
 
Kweli Clever mambo hayawezi kua sawa milele

Lazima wengine waoelewe, kufariki, kutajirika n.k ni maisha tu ya jana hayawezi kuwa leo tena!

Japo mkuu mshana kasema ni baadhi na inategemea.
 
Nimegundua hili somo ni gumu hasa kwa wale ambao ufahamu wao ni mdogo kwenye ulimwengu wa roho (silawaumu) lakini pia wale ambao wana mzio na post zangu, Wao daima hawana hoja bali kukosoa bila ithibati! Siwalaumu kwakuwa chuki ni sehemu ya mwanadamu hasa akiwa na akili finyu.
 
Napata kuamini maana kuna picha ipo hapa home alipiga marehemu mama yangu na wenzake wakiwa kwenye foleni ya kupakuliwa chakula kwenye sherehe cha kushangaza bi mkubwa alipofariki anayemfuata kwenye hiyo foleni nyuma yake naye alifariki mwaka uliofuata.
 
Mshana jr. Kali kuliko zote nimewahi ziona ni mtu kuibiwa kivuli chake, yani hata asimame juani hakionekani.
Hili nimesha wahi liona kwangu kali ni jamaa kuwekwa kwenye sanduku (jeneza) akisubiri kuzikwa ila ni kwa njia ya kishirikina

Ikawa mziki kumrudisha duniani jamaa anakimbilia uvunguni nkasema dunia ina watu

Nyingine ni kulogwa ukimwi, na vipimo kuthibitisha jamaa anao baada ya tiba ukimwi ukapotea
 
Magonjwa ya jinsi hiyo ni mengi ambayo huwezi kuyathibitisha kwa vipimo vya kitaalam
 
Wachawi wanatumia mzimu wa mtu aliekufa kwa ukimwi...manake unavalishwa mwili wa Mtu mwingine wakwako wanauchukua....Achana na wachawi kwenye Shughuli zao wanamaanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…