Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Katika picha hizo ni Kitine tu ndiyo alijitofautisha na wenzake.
 
Nimemfatilia huyo golikipa hapo juu
° kazaliwa mwaka 1994
° ana urefu wa m 1.94
° anavaa jersey namba 94
° alifunga goli la kusawazisha dk ya 94

Ukifikiria kwa utulivu, unaweza kudhani mambo yanayotokea hapa duniani yapo kwa mfumo wa namba na yameshapangika, sisi tunayakamilisha tu.

Unaweza kubashiri yajayo kwa kuangalia mpangilio ambao ni namba tu.
 
Sio kweli Tupac kafariki akiwa na miaka 25

Kazaliwa June 16, 1971
Kafariki September 13, 1996
 
Hii picha imeongea.
Ni Kama John anamwambia Mama huyu kijana hakikisha anabaki kwenye system endapo sitokuwepo.

Angalia body language la John na Mama
 

Attachments

  • Screenshot_20231114-074450~2.jpg
    142.1 KB · Views: 46
Habarini wadau humu
Mnaendeleaje na hali zenu,
Uzi huu ni wa kweli na kupitia picha kuna sehemu nilifanya utabiri na umekuwa kweli
Naitwa mtabiri ukuuuu

IKO HIVI
kiongozi wangu aliweka status akiwa amepiga picha na wenye nafasi kama yake ila wanaoitumikia taasisi nje ya nchi ,YEYE tu ndio alikuwa mtanzania kwenye hiyo picha
Mimi nikamwambia haitachukua mda mrefu anahamishiwa nje akakataa,
Ila leo imetimia amepata barua ya KUHAMISHIWA nje ya nchi
Nakiri picha zinaongeaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…