Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Save this post... Naomba nisitoe tafsiri sasa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]
Sema kitu hapa...... mana kaanza wa kwanza hapa amefata wa pili ndani ya mwaka huu tumbo moja(me)hao....
Screenshot_20200708-143237.jpg
 
Picha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike

Ukipata muda chukua album yako ya picha pitia picha za zamani ulizopiga na marafiki ndugu jamaa na hata watu usiowafahamu

- angalia mpangilio wa jinsi watu walivyosimama au kukaa nk
- angalia mpangilio wa rangi au mavazi
- angalia body language

Kwa mshangao wa ajabu utakuta kwenye picha fulani watu fulani waliosimama pamoja siku huyo au kuchuchumaa au kuvaa nguo za aina moja nk

- wote wamekufa
- wote ni matajiri
- wote wameoa/wameolewa nyumba moja
- wote tabia zao zinafanya nk

Kwa mshangao mkubwa angalia body language utajikuta unaona kabisa hao

- walikuja kuoana
- walikuja kuwa maadui wakubwa
- walikuja kuwa marafiki wa damu nk

Tunapojipanga tupige piga na kubadili badili mikao na nafasi si kwa akili zetu bali kuna nguvu nje ya ufahamu wetu nguvu ya kiroho ndio inafanya kazi

Ni nguvu hiyo inayoamua:

Usimame wapi na kwa nini
Ukae wapi na kwa nini
Ufuatane na nani na kwa nini
Umtazame nani na kwa nini

Ni nguvu ya uvutano kwenye ulimwengu wa roho inayotengeneza matukio yote haya na huja kudhihirika baada ya kipindi fulani kupita...haya yanatokea si kwa utashi wetu wala uamuzi wetu wala nguvu zetu

Sijapata picha nyingine lakini naomba kuweka hii

- angalia mfanano wa rangi za mavazi
- body language
- nafasi kwenye kusimama
- umbali na ukaribu

Unafikiri walipanga kwa makusudi huu mkao?


Sasa Mbatia ana tofauti na hao wengine?
 
Mshana Jr makala zako zinatafakarisha sana. Hata kama unayosema hayana ukweli kwa 100%, lakini unaangalia jambo kwa macho matatu.

Yaani huwa wakati mwingine huzungumza yasionekana wala kuyahisi kwa urahisi
 
Kuna maana kubwa kwa HUSSEIN MWINYI kutovaa shati la kijani kwenye sherehe za ikulu ya Chamwino leo.
Ilhali wenzake wote wamevaa.
MUDA UTASEMA.
IMG_20200712_145930_409_1594585059867.jpg
 
Mshana Jr makala zako zinatafakarisha sana. Hata kama unayosema hayana ukweli kwa 100%, lakini unaangalia jambo kwa macho matatu.

Yaani huwa wakati mwingine huzungumza yasionekana wala kuyahisi kwa urahisi
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji109][emoji123]
 
Back
Top Bottom