Tafuta hela uheshimishe familia yako

Ata ukitafta pesa sio wote wanazipata lazma tu utambue dunian kuna washindi na washindwa
 
Wewe sio kama NI fukara tuu Bali hata Akili hauna.
Ninaweza kukutajia mabilionea ambao wameandika vitu vingi na bado wanapesa.
Alafu kuna ninyi makapuku mnaojifanya mko busy alafu Maisha yenu ya taabu
Wewu umo kwenye hiyo list ya hao mabilionea?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we mwanaume kweli? Yani to make your point inabidi utafute justification kutoka kwa wanaume wenzio? Watakuzagamua shauri yako
 
Hiyo inaenda sambamba na kurogwa na hao nduguzo.

Laiti Mungu akikufungulia uone vita unayopigwa na nduguzo ungeshangaa sana kuchoka.

Tena wengine unawasomeshea watoto wao na misaada kibao lakini …..
 
Aisee huu ni ukweli mchungu, tutafute hela
 
Kama kuna kitu nakichukia ni kuonewa au kuonea mtu just because ya kukosa pesa,binafsi hata niwe sina hunitumi kizembe ntafanya nikiona inafaa period!
Mimi huwezi kunutumikisha kijinga. Kuna watu walikuwa na tabia hiyo kwenye familia yetu, tukaanza utaratibu wa kulipa mpishi kwenye shughuli. Anakuja na vyombo vyake anapika, anaosha anasepa. Kila mmoja anachangia kutokana na uwezo wake. Sipendagi dharau mimi na sina tabia ya kudharau mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…