Tafuta mwanamke uoe, haya ndio maumbile tuliyoumbiwa

Wanaume huwa tunataka hiyo kitu kila siku kila muda tunaiwaza wengi wenu mnakuwa mnaona ni kikwazo .Every time we think pussy.Mngekuwa hamtushindwi mngeitoa siku zote kasoro ambazo hampo MPeriod .
Nyie hamjui shida hampendwi. Au mnajua kutwanga tuu.
Kwahy ndio maana mnapewa Kwa manati.
 
Kama ningekuwaa ni Mimi baba ningeombaaa mwenyewe uniongezeee mke wa piliii😅..hizo heka heka siweziii
 
Hapa leooo tupo na mtaaalamu😋
 
Watu wengi JF wanapenda kujipa umuhimu wasio nao katika maisha ya wenzao.

Mtu asiyekujua, anaweza kukupa ushauri ambao hujamuomba, kwenye jambo asilolielewa.
 
Na wale wenye dini za kiafrika tunao weza oa wake hata Mia Ni uwezo wetu unatuambia mbona hujaliongelea hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…