AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
- Thread starter
- #61
Naam baarakallaahu fiyk...AbuuMaryam Marehemu mme wangu alishawahi kuniambia kuwa ndoa ni ya wanaume wenye akili timamu. Ukiona wanakupinga sana ujue ni tatizo hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam baarakallaahu fiyk...AbuuMaryam Marehemu mme wangu alishawahi kuniambia kuwa ndoa ni ya wanaume wenye akili timamu. Ukiona wanakupinga sana ujue ni tatizo hilo.
Kwanza ningeshangaa huu uzi usingetia neno🤣🤣🤣🤣Aah kuna wanaume wana miziki minene binafsi siwez, huyo mmoja tu ananipa tabu hao wengi si wataniua
Oa bhana hata kama ni 2050 usiache kuoaNahisi sipo tayari.. Au sijui naogopa.. Ila ngoja tusubiri 2025
Acha tuoe mitala tu, hawa wazungu ndio wametuharibia kutuletea masuala ya mke mmoja, mimi babu yangu alikua na wake 25 na watoto wasiokua na idadi maalum yaan nilifika kijijini nikaambiwa kule ulipotoka hadi hapa ulipofika hili eneo loooote lilikua eneo la babu yako nilichoka, walipoleta dini na ndani ya dini huku wakachomekea ndoa ya mke mmoja huku wakasema wake wanne.. Mimi kwangu hata wanne hawanitoshi ile spirit ya babu yangu ipo ndani inabidi niwe nao wengi 25+ na watoto wa kumwaga km utitiri mpaka wengine nisiwajue na kuwatambua ndio tumeumbwa hivyo sio kubanwabanwa na hizi kurumbembe za kidinikataaa ndoa ya mke mmoja
Hapo sawa.. Movement imekua "Kataa ndoa ya Mke Mmoja"Oa bhana hata kama ni 2050 usiache kuoa
🤣🤣 No commentKwanza ningeshangaa huu uzi usingetia neno🤣🤣🤣🤣
Good morning besty.
Wee sasa mie nataka niwapiganie mpate uhuru wee unasema oh siwezi mibolo mikubwa🤣🤣🤣 acha ufalaa wewe. Alafu huyo mmoja akikubwaga utaanza lalamika hapa oh wanaume wenyewe tabia zao kama mzabzab.
Kuwa na wanaume wengi uburudike acha kutesa moyo wako.
Alafu wee umetupiga fix toka lini andunje anduje akawa na de liboli likubwa? 🤣🤣🤣🤣
Usijali tupo pamoja kwenye hilo na nitalisimamia. Mwanamke lazima apewe uhuru wa kugegedwa na wanaume wengi pasipo kuonekana malaya.😂😂😂😂 Unavyojipigia pande Sasa🙌🙌
Mimi mwenyewe nashangaa..huu Ni ukatili wa kijinsia bana..anzisha kampeni nipo pembeni yako 🤣🤣🤣🤣
Kabisa hii ndio slogan mpya. 😍😍😍😍Hapo sawa.. Movement imekua "Kataa ndoa ya Mke Mmoja"
Kufanywa hakuhusiani na kuweka kazi kama kipaumbele. Yaani daktari akiamua kutumia muda kutafiti utabibu mpaka kukosa muda wa ngono atafanywa yeye. Umedanganywa.Ndio hao sasa waliopoteza urijali wao...mwisho wa wakawa wanafanywa wao sasa...
Allaah aniepushie mimi na kizazi changu...
Tokomeza wauni na kaul mbiu zao za ovyo ovyo 😁😁😁Salaam,
Kuna kampeni inaendeshwa kimya kimya na wahuni kushawishi watu wasioe... Yaani watu waikatae NATURE... Maumbile yao ya asili...
Sasa wewe usipooa... Maji maji yako unayajaza unamwekea nani?
Unakataa kuoa kwa sababu ya chuki dhidi ya wanawake... Sasa ukiwachukia wanawake... Alafu uwapende wanaume eeh... Si ndio mnapoelekea kwenye kupendana wenyewe kwa wenyewe... USHOGA...
MY FRIEND OA... OA MWANAMKE HARAKA...
OA WANAWAKE HATA WAWILI WATATU MPAKA WANNE... HAYO NDIO MAUMBILE YETU TULIYOUMBIWA...
Kiasili Kimaumbile MWANAUME RIJALI ALIYE SAWA SAWA HAWEZI KUTOSHELEZWA NA MKE MMOJA...
MWANAMKE MMOJA KIMAUMBILE HAWEZI KUHIMILI MIKIKIMIKIKI YA MWANAUME RIJALI...
Ukitaka kuamini hilo... Angalia kwanini imekatazwa kumuingilia mwanamke akiwa hedhi na akitoka kujifungua mpaka damu iishe?
Kiasili Mwanamke maumbile yake yanachakaa haraka na kupoteza ladha ikiwa akiingiliwa kila siku kila mara iwe na mwanaume mmoja au na wanaume tofauti(ukitaka kuamini kawaangalie makahaba).
Na mwanaume rijali yeye anahitaji takribani kila siku apate huduma... Jambo ambalo mwanamke mmoja pekee yake haliwezi... Ndio maana uislaam kwakuwa ni dini ya kimaumbile wakaamrishwa MWANAUME MMOJA wanawake wawili watatu au wanne. Na hili jambo limethibitishwa kwa utafiti makini na LIMEJARIBIWA(MUJARRABU) Hapo nimeeleza kwa kifupi ukitaka zaidi njoo darsani kwangu.
LAKINI UKIWA HUTAKI KUOA KABISA KISA HUTAKI WANAWAKE SIJUI BLAA BLAA NYINGI... HUNA TOFAUTI NA MASHOGA... NA UNAPOELEKEA UTAKUWA SHOGA.
Mimi nimesema mwisho wanne... Si zaidi...Wanawake tupo wengi mnastahili kutumiliki kuanzia 5 na kuendelea
Hao hawana dini inayowaongoza kuepuka zinaa... Hapa tunakusudia ndoa...Ndiyo muoe Sasa..siyo kila kukicha na **** mpya Kuna maradhi shenzyy
Allah akbarSalaam,
Kuna kampeni inaendeshwa kimya kimya na wahuni kushawishi watu wasioe... Yaani watu waikatae NATURE... Maumbile yao ya asili...
Sasa wewe usipooa... Maji maji yako unayajaza unamwekea nani?
Unakataa kuoa kwa sababu ya chuki dhidi ya wanawake... Sasa ukiwachukia wanawake... Alafu uwapende wanaume eeh... Si ndio mnapoelekea kwenye kupendana wenyewe kwa wenyewe... USHOGA...
MY FRIEND OA... OA MWANAMKE HARAKA...
OA WANAWAKE HATA WAWILI WATATU MPAKA WANNE... HAYO NDIO MAUMBILE YETU TULIYOUMBIWA...
Kiasili Kimaumbile MWANAUME RIJALI ALIYE SAWA SAWA HAWEZI KUTOSHELEZWA NA MKE MMOJA...
MWANAMKE MMOJA KIMAUMBILE HAWEZI KUHIMILI MIKIKIMIKIKI YA MWANAUME RIJALI...
Ukitaka kuamini hilo... Angalia kwanini imekatazwa kumuingilia mwanamke akiwa hedhi na akitoka kujifungua mpaka damu iishe?
Kiasili Mwanamke maumbile yake yanachakaa haraka na kupoteza ladha ikiwa akiingiliwa kila siku kila mara iwe na mwanaume mmoja au na wanaume tofauti(ukitaka kuamini kawaangalie makahaba).
Na mwanaume rijali yeye anahitaji takribani kila siku apate huduma... Jambo ambalo mwanamke mmoja pekee yake haliwezi... Ndio maana uislaam kwakuwa ni dini ya kimaumbile wakaamrishwa MWANAUME MMOJA wanawake wawili watatu au wanne. Na hili jambo limethibitishwa kwa utafiti makini na LIMEJARIBIWA(MUJARRABU) Hapo nimeeleza kwa kifupi ukitaka zaidi njoo darsani kwangu.
LAKINI UKIWA HUTAKI KUOA KABISA KISA HUTAKI WANAWAKE SIJUI BLAA BLAA NYINGI... HUNA TOFAUTI NA MASHOGA... NA UNAPOELEKEA UTAKUWA SHOGA.
HAIRUHUSIWI HATA KUWAKUSANYA CHUMBA KIMOJA... NI BORA USIOE MPAKA UPATE UWEZO WA KUWATENGANISHA...Na nyie mkubali kuletewa wake wadogo sio mnaanza leta fyoko fyoko oh mie ndoa ya wake wengi sitaki.
Niulize tuu jamani hivi ndoa ya wake wengi unaruhusiwa kupiga threesome/ foursome nao?
Hii haifai... OA...Hakuna kitu kizuri duniani kama kupeleka moto. Sijui wale jamaa wanakwama wapi!!??
Mimi naangalia kalenda tu. Kama mwezi huu nimedeal na (short chasis)wanawake wafupi. Basi mwezi ujao ninadeal na big mamaz.....