Tafuta mwanamke uoe, haya ndio maumbile tuliyoumbiwa

Tafuta mwanamke uoe, haya ndio maumbile tuliyoumbiwa

Ni ngumu sanaa... Ila mwanamke anayekubali hili kwakuwa limetoka kwa Mola wake... Huyo ni MCHAMUNGU...
Kwa hiyo tesema tuu kuwa wachamungu ni wacahache sana.
Basi tuendelee tuu kupeana kinyemela
 
Siyo roho mbaya ..tumeumbiwa wivu..Kama vile ninyi hamtakagi kushea papuchi ndivyo nasi tupo ivyo..ni vile tu sababu ya dini Kuna Sunnah..tunajikuta hakuna namna.


Wanawake walio kwenye ndoa ya matala wenye akili timamu na hofu ya Mungu hawawezi kubali hiyo threesome hata Kama wana nyege kiasi gani kwa wakati mmoja.
ACHANA NAE HUYO ANATAKA ALETE UCHAFU... UISLAAM SIO DINI YA UCHAFU HIVYO...
 
KUNA AYA KATIKA QURAN... MANABII PEKEE YAO ALLAAH KAWAPA FAVOR WANAWEZA WAKAOA IDADI WANAYOTAKA... REJEA NABII DAUDI SULAYMAAN IBRAAHIIM... HII NI MAALUM KWA MANABII TU...
Loh watu wanajua kujipendelea. Ubinafsi huo
 
Basi wote tuweke wivu pembeni jamani tupendane na tupeane kwa moyo mmoja. Mwanaume kutulia na mbususu moja haiwezekani.

Hivi kwa nini wanawake hawaruhusiwi kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja? Mie naona hapo hatupo sawa kama jamii. Itabidi nianzishe kampe i ya wanawake kuwa na uhuru wa kuwa na wanaume wengi. Ni muhimu na wao wakatimiza haja zao
HUO SIO UBINADAMU... REJEA UZI WANGU UNASEMAJE... MWANAMKE KIMAUMBILE HAWEZI KUWA SAWA AKIWA NA WANAUME WENGI... NIKAKUTOLEA MFANO HAO WA MAKAHABA WANAOJIUZA... UNADHANI WAKO SAWA WALE?
 
HUO SIO UBINADAMU... REJEA UZI WANGU UNASEMAJE... MWANAMKE KIMAUMBILE HAWEZI KUWA SAWA AKIWA NA WANAUME WENGI... NIKAKUTOLEA MFANO HAO WA MAKAHABA WANAOJIUZA... UNADHANI WAKO SAWA WALE?
Mbona ndio hao hao tunawaoa ama kahaba ni moaka apewe hela? Wapo makahaba kibao kwenye hizi tunazoita ndoa
 
Umeona yaani wachache ndio wanajipa raha sie wengine tunanyimwa
Yaani na watu wanatekeleza hawaoni kwamba manabii walijipendelea kwa makusudi kabisa ili wafaidi peke yao.
 
Hahahah nacheka tu... Sema umekutana na wanaume pungufu. Hujakutana na wanaume rijali.

Mwanaume rijali kama mimi... Yaani mimi ninahitaji tendo kama chakula... Nikirudi tu kila siku uwe umejiandaa. Yaani kila siku tena mara mbili kwa siku asubuhi napotoka na jioni nikirudi.

Wikiendi mara tatu yaani tushinde ndani tu. Kula ndio mapumziko.

Wewe huwezi. Na hutaweza... Lazima usaidiwe... Ili siku nyingine upumzike...UPUMZISHE VIUNGO VYAKO... VIREJESHE ELASTICITY... OTHERWISE VITALEGEA NA UTAPOTEZA HAMU YA TENDO KABISA... NA HIYO INA MADHARA ZAIDI KWAKO...
Sahv kuna vimwanamke vinahimili mikikiki ya kila siku,
 
HAIRUHUSIWI HATA KUWAKUSANYA CHUMBA KIMOJA... NI BORA USIOE MPAKA UPATE UWEZO WA KUWATENGANISHA...
Wapo nawajua wanaoa na wana chumba na sebule tu,

Mwenye zamu anaenda kulala chumbani na mume,
Kama sip za u yako walala seblen na watoto,

Hii imekaaje???
 
Back
Top Bottom