Tafuta mwanamke uoe, haya ndio maumbile tuliyoumbiwa

Wapo nawajua wanaoa na wana chumba na sebule tu,

Mwenye zamu anaenda kulala chumbani na mume,
Kama sip za u yako walala seblen na watoto,

Hii imekaaje???
Ngoja atupe muongozo.
Jamani wee hutaki kujua mwenzio anafanya maajabu gani huko chumba i na mume ukiwa hapo sebuleni unasikilizia miguno tuu huko
 
Wengi wanaoa kwa tamaa tu hawana uwezo
 
Sio sawa... Uislaam sio dini ya ukatili hivyo...

Kuna wengine wanatumia mfumo...sawa wanawake wana vyumba tofauti ila wanabadilisha zamu kwenda kulala kwa mume ambae yupo chumba chake...

UISLAAM UMELIHESHIMU TANDIKO LA MTU NA UKALITAKASA... HIVYO KINACHOKUSUDIWA NI TANDIKO... KILA MKE AWE NA TANDIKO LAKE NA STARA YAKE YA CHUMBA CHAKE...

HAIRUHUSIWI HATA MKE MWENZIE AONE UCHI WA MWENZAKE HATA KAMA WANA MUME MMOJA...
 
HUU NI UNYAMA... NA UISLAAM HAULITAKI HILI...
 
Sasa unaoa wanawake wengi ili iweje kama huwezi piga threesome
Utaratibu wa kuoa wake zaidi ya mmoja mwisho wa wanne umeletwa na uislaam...kwahiyo hata namna ya kuishi na kuendana na wake hao uislaam umeelekeza...
 
Sio sawa... Uislaam sio dini ya ukatili hivyo...

Kuna wengine wanatumia mfumo...sawa wanawake wana vyumba tofauti ila wanabadilisha zamu kwenda kulala kwa mume ambae yupo chumba chake...

UISLAAM UMELIHESHIMU TANDIKO LA MTU NA UKALITAKASA... HIVYO KINACHOKUSUDIWA NI TANDIKO... KILA MKE AWE NA TANDIKO LAKE NA STARA YAKE YA CHUMBA CHAKE...

HAIRUHUSIWI HATA MKE MWENZIE AONE UCHI WA MWENZAKE HATA KAMA WANA MUME MMOJA...
Wapo wanafanya hivyo kuna ost, kitunda ndiyo mambo yake,

Uke wenza no.
 
Wengi wanaoa kwa tamaa tu hawana uwezo
Naam... Na ndoa hiyo ni ya makosa... Huo ndio uwezo... Uwezo unaokusudiwa... Ni ule wa kuwa na mahali pa kuwaweka kila mmoja na chumba na tandiko lake...

Hapa suala la rizki halipo...
 
Back
Top Bottom