Hili atakaloweza ni nabii mtiwa mafuta tuu lakini sio mwanaume wa dunia hii🤣🤣🤣🤣🤣Jambo la kwanza kabisa ni UCHAMUNGU.. Maana yake uwe unaishi kwa kufuata Amri ya Allaah na Mtume wake. Sio jitu haliswali... Zinifu... Levi... Halitoi swadaqa... Halitoi zaka... Halifungi... Alafu linataka kuongeza mke... Huyu hafai...
Pili... Ni UADILIFU... yaani uwe na uwezo wa kumtendea kila mke kulingana na haqq yake... Usimdhulumu yeyote... KIDINI, KITENDO LA NDOA, KIMALI, KIMALISHO, KIMAVAZI WALA KIHISIA... BILA KUPENDELEA UPANDE WOWOTE.
TATU... uwezo wa kuwahifadhi kila mmoja kwa nafasi yake na mahali pa kujistiri yeye na tandiko lake pekee yake... Sio washee tandiko moja wake wawili au watatu.
Ni hayo tu ya msingi... Suala la Rizki sijui atakula nini hilo halipo chini yako...
Jensifa za kuwa mke mkuu na mkee mdogo zikoje? Maana sio tunaangalia upande mmoja tuu