AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
- Thread starter
- #181
Ukiona mahari imekushinda endelea kutafuta utakayomudu... Suala la mahari lipo chini ya mwanamke muolewaji... Yeye ndiye anayepanga aolewe au asiolewe... Na kwa kiasi gani...Huu uhamasishaji wako ungeenda sambamba na uhamasishaji wa kupunguza mahari ingekuwa bora zaidi ....mahari imekuwa kikwazo sana dada yangu......sio bara tu hata visiwani