Tafuta mwanamke uoe, haya ndio maumbile tuliyoumbiwa

Tafuta mwanamke uoe, haya ndio maumbile tuliyoumbiwa

KWA JINSI ULIVYO ANDIKA UZI WAKO, NI KAMA WATU WANAOA KWA AJILI YA UNYUMBA.
UNYUMBA NI ASILIMIA 15 TU,YA MAISHA YA MAHUSIANO KUNA MAISHA MENGINE YENYE KUBEBA 85%

NAUNGA MKONO KAMPENI YA WANAUME KUACHA KUOA.
ZAMA ZETU HIZI KUOA NI KUJITAFUTIA MATATIZO YA KUJITAKIA
Hahahaa kwa utafiti gani....?

Hiyo asilimia 15 unayoisema isiwepo sasa... Alafu tuone hiyo ndoa kama bado nayo itakuwepo...
 
KWA JINSI ULIVYO ANDIKA UZI WAKO, NI KAMA WATU WANAOA KWA AJILI YA UNYUMBA.
UNYUMBA NI ASILIMIA 15 TU,YA MAISHA YA MAHUSIANO KUNA MAISHA MENGINE YENYE KUBEBA 85%

NAUNGA MKONO KAMPENI YA WANAUME KUACHA KUOA.
ZAMA ZETU HIZI KUOA NI KUJITAFUTIA MATATIZO YA KUJITAKIA
Mara nyingi mtu mwenye tabia ya kukimbia matatizo ni mwanamke...

Kwahiyo usipooa matatizo hakuna... Unajidanganya...
 
Wanaume huwa tunataka hiyo kitu kila siku kila muda tunaiwaza wengi wenu mnakuwa mnaona ni kikwazo .Every time we think pussy.Mngekuwa hamtushindwi mngeitoa siku zote kasoro ambazo hampo MPeriod .
Hata hiyo siku wapo period inabidi kuwe na sehemu unahudumiwa... Hutakiwi kuikosa hata siku moja...
 
Salaam,

Kuna kampeni inaendeshwa kimya kimya na wahuni kushawishi watu wasioe... Yaani watu waikatae NATURE... Maumbile yao ya asili...

Sasa wewe usipooa... Maji maji yako unayajaza unamwekea nani?

Unakataa kuoa kwa sababu ya chuki dhidi ya wanawake... Sasa ukiwachukia wanawake... Alafu uwapende wanaume eeh... Si ndio mnapoelekea kwenye kupendana wenyewe kwa wenyewe... USHOGA...

MY FRIEND OA... OA MWANAMKE HARAKA...

OA WANAWAKE HATA WAWILI WATATU MPAKA WANNE... HAYO NDIO MAUMBILE YETU TULIYOUMBIWA...

Kiasili Kimaumbile MWANAUME RIJALI ALIYE SAWA SAWA HAWEZI KUTOSHELEZWA NA MKE MMOJA...

MWANAMKE MMOJA KIMAUMBILE HAWEZI KUHIMILI MIKIKIMIKIKI YA MWANAUME RIJALI...

Ukitaka kuamini hilo... Angalia kwanini imekatazwa kumuingilia mwanamke akiwa hedhi na akitoka kujifungua mpaka damu iishe?

Kiasili Mwanamke maumbile yake yanachakaa haraka na kupoteza ladha ikiwa akiingiliwa kila siku kila mara iwe na mwanaume mmoja au na wanaume tofauti(ukitaka kuamini kawaangalie makahaba).

Na mwanaume rijali yeye anahitaji takribani kila siku apate huduma... Jambo ambalo mwanamke mmoja pekee yake haliwezi... Ndio maana uislaam kwakuwa ni dini ya kimaumbile wakaamrishwa MWANAUME MMOJA wanawake wawili watatu au wanne. Na hili jambo limethibitishwa kwa utafiti makini na LIMEJARIBIWA(MUJARRABU) Hapo nimeeleza kwa kifupi ukitaka zaidi njoo darsani kwangu.

LAKINI UKIWA HUTAKI KUOA KABISA KISA HUTAKI WANAWAKE SIJUI BLAA BLAA NYINGI... HUNA TOFAUTI NA MASHOGA... NA UNAPOELEKEA UTAKUWA SHOGA.
Hapo kwenye Uislamu wanaume wameamrishwa kuoa zaidi ya mke mmoja, sio kweli na kama umefundishwa hivyo umedanganywa

Katika Uislamu kuna mambo yameamrishwa mfano kufuata nguzo tano za Uislamu (kushuhudia kuwa Mungu ni mmoja tu, kusali sala tano, kufunga mwezi Ramadhani, kutoa zaka, na kwenda kuhiji Makka kama mtu ana uwezo huo), pia tumeamrishwa kupenda na kuwatunza wazazi wetu wote wawili, pia tumeamrishwa kukemea mabaya yani katika Uislamu mtu hatakiwi kukaa kimya aonapo jambo lililokuwa sio sahihi kulingana na dini.

Sasa hilo suala la kuoa mke zaidi ya mmoja sio maamrisho, ni sunna (kwa maana mtume mwenyewe alilifanya) na ni muongozo toka kwenye Quran (kwa maana ni namna ya kufanya wanawake waolewe katika vipindi ambavyo wanaume wamekufa vitani ama pia kuzuia uzinzi, kuhakikisha kila mwanamke ana ndoa yake na ana mtu wa kumlinda na kumtunza)

Kwahiyo kuoa mke zaidi ya mmoja sio amri, ni jambo tu ambalo Qurani haioni ubaya wake, kama watu watalifanya kiadilifu.
 
Hapo kwenye Uislamu wanaume wameamrishwa kuoa zaidi ya mke mmoja, sio kweli na kama umefundishwa hivyo umedanganywa

Kwahiyo Qurani imezungumzia mtu kuoa zaidi ya mke mmoja ila kusema kuwa 'imeamrisha' huko ni kupotosha.

Ingekuwa amri basi ungeona kiila mwanaume wa Kiislamu ana mke zaidi ya mmoja. Ila wanaooa mke zaidi ya mmoja ni wachache kuliko waliooa mke mmoja, kwasababu sio amri.

Mambo ambayo ni amri katika uislamu yako wazi na ndio tunapigian kelele kila siku, utasikia sala bora kuliko usingizi, kuleni ambavyo sio haram, heshimu mama upate radhi zake, ila hakuna shekhe anaye sisitiza mtu aoe mke zaidi ya mmoja, kwasababu hilo ni suala la mtu binafsi
 
Hakuna kuoa hapa, toa mambo yako ya kiuopolo, wewe huoni manara badala ya kuwekeza nguvu zake kwa yanga ili ifuzu makundi kama simba, yeye amewekeza kwenye kusukuma nyama, haoi mtu hapa mpaka yanga afike makundi ya CAF klabu bingwa kama simba.
 
AbuuMaryam Marehemu mme wangu alishawahi kuniambia kuwa ndoa ni ya wanaume wenye akili timamu. Ukiona wanakupinga sana ujue ni tatizo hilo.
pole kwa kufiwa mama, kama bado umri unahitajia na hujapata mwingine please naweza kufidia alipopaacha ndugu yetu.
 
Back
Top Bottom