Tafuta mwanamke uoe, haya ndio maumbile tuliyoumbiwa

Salaam,

Kuna kampeni inaendeshwa kimya kimya na wahuni kushawishi watu wasioe... Yaani watu waikatae NATURE... Maumbile yao ya asili...

Sasa wewe usipooa... Maji maji yako unayajaza unamwekea nani?

Unakataa kuoa kwa sababu ya chuki dhidi ya wanawake... Sasa ukiwachukia wanawake... Alafu uwapende wanaume eeh... Si ndio mnapoelekea kwenye kupendana wenyewe kwa wenyewe... USHOGA...

MY FRIEND OA... OA MWANAMKE HARAKA...

OA WANAWAKE HATA WAWILI WATATU MPAKA WANNE... HAYO NDIO MAUMBILE YETU TULIYOUMBIWA...

Kiasili Kimaumbile MWANAUME RIJALI ALIYE SAWA SAWA HAWEZI KUTOSHELEZWA NA MKE MMOJA...

MWANAMKE MMOJA KIMAUMBILE HAWEZI KUHIMILI MIKIKIMIKIKI YA MWANAUME RIJALI...

Ukitaka kuamini hilo... Angalia kwanini imekatazwa kumuingilia mwanamke akiwa hedhi na akitoka kujifungua mpaka damu iishe?

Kiasili Mwanamke maumbile yake yanachakaa haraka na kupoteza ladha ikiwa akiingiliwa kila siku kila mara iwe na mwanaume mmoja au na wanaume tofauti(ukitaka kuamini kawaangalie makahaba).

Na mwanaume rijali yeye anahitaji takribani kila siku apate huduma... Jambo ambalo mwanamke mmoja pekee yake haliwezi... Ndio maana uislaam kwakuwa ni dini ya kimaumbile wakaamrishwa MWANAUME MMOJA wanawake wawili watatu au wanne. Na hili jambo limethibitishwa kwa utafiti makini na LIMEJARIBIWA(MUJARRABU) Hapo nimeeleza kwa kifupi ukitaka zaidi njoo darsani kwangu.

LAKINI UKIWA HUTAKI KUOA KABISA KISA HUTAKI WANAWAKE SIJUI BLAA BLAA NYINGI... HUNA TOFAUTI NA MASHOGA... NA UNAPOELEKEA UTAKUWA SHOGA.
Hapo ukute una wanawake wanne umeoa na huna mia kazi kujambiana tu huko miskitini.
 
Hili atakaloweza ni nabii mtiwa mafuta tuu lakini sio mwanaume wa dunia hii🤣🤣🤣🤣🤣

Jensifa za kuwa mke mkuu na mkee mdogo zikoje? Maana sio tunaangalia upande mmoja tu
Hilo wapo wanaoliweza... Ila huko ulipo wewe hawapo...

Hakuna kitu cha mke mkuu wala mdogo katika uislaam... Wote ni wake na wana haqq sawa kwa mume wao...

Wanaweza wakatofautiana wakati wa kuingia ndoani... Ila wote ni wake...
 
Kumbuka kwamba sio kwamba mtu hajaoa basi hapigi machine, kuna wengine walivyo kama muhuri wa TBC anagonga bidhaa tofauti tofauti hana time ya kuoa.
Ila hakuna dhambi utafanya itakosa matokeo yake... Mwisho wake ni mbaya...
 
Mkuu mi sjasema mabao mbona yani nimemaanisha kiu ya kuwa na mwanamke nimeshangaa sana kwamba inakupata just two times a day wenzio tunatoroka mpk kazini mara nne nne sasa unaposema mara mbili kwa siku nakuhurumia ni tatizo kwa mtu anaejiita rijali
Pongezi unajitahidi.
 
Hili sasa ndio neno. Tuoe wanawake wengi kataaa ndoa ya mke mmoja.

Kibunda unacho mkuu? Maana kuwa na wake wengi utakuwa na watoto wengi una uwezo wakuwalea vizuri??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hatuwezi kushindana na dunia tufanye yale ambayo yapo ndani ya uwezo wetu
 
Ila hakuna dhambi utafanya itakosa matokeo yake... Mwisho wake ni mbaya...
Mimi kuna mzee na mjua tokea nipo primary ni Ostaz anao,anazalisha anaacha,mpaka sasa hivi mwendo ni huo huo. Hivi huyu utamweka kundi gani?
 
Kibunda unacho mkuu? Maana kuwa na wale wengi utakuwa na watoto wengi una uwezo wakuwalea vizuri??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hatuwezi kushindana na dunia tufanye yale ambayo yapo ndani ya uwezo wetu
Huwezi ukamuuliza mwanaume mwenzio kibunda wakati hajawahi kukulilia shida ya kulisha hata mwanae mmoja hata siku moja...
 
Mimi kuna mzee na mjua tokea nipo primary ni Ostaz anao,anazalisha anaacha,mpaka sasa hivi mwendo ni huo huo. Hivi huyu utamweka kundi gani?
Kwa taratibu za kiislaam... Mtu kama huyu anabidi atangazwe misikiti hata kwenye vyombo vya habari... Huyu asipewe mke huyu... Ajulikane...

Mtume ﷺ amemsimanga na kumtangazia adhabu kali mwanaume onja onja... Oa acha oa acha...

Msingi mkuu wa ndoa ya kiislaam... KUSUDIO LAKE KUU NI KUDUMU KWA NDOA... NA ENDAPO IKATOKEA DHARURA YA KUPELEKEA NDOA IKAVUNJIKA BASI IWE KWA WEMA... NA SI KUACHA ACHA TU KAMA MCHEZO...

Allaah ni mjuzi zaidi.
 
Type hizo siku hizi wapo wengi ukiwa uliza wanadai dini ina ruhusu kuoa na kuacha.
 
Huwezi ukamuuliza mwanaume mwenzio kibunda wakati hajawahi kukulilia shida ya kulisha hata mwanae mmoja hata siku moja...

Tumia akili kidogo hii ni sehemu huru!! Swala la kulisha familia yake linahusiana nini? Hapa tunaongelea kuoa wake wengi hata wewe naweza kukuuliza Unapesa yakutunza hao wanawake na watoto watakao zaliwa??

Tunapojadili swala la kuwa na wanawake pia tunaangalia na swala la uwezo wakuhudumia hao wanawake...... ni kweli wapo wengi wamejaa lakini uwezo wakuwatunza wote ndo issue Kwaiyo unakuwa na kile ambacho una uwezo nacho......

Nakumbuka kabla sijaoa aliniambia babu kama unataka kuoa tafuta mtu atakae kufaa oa ila hii leo huyu kesho yule Huwezi kushindana na dunia kila siku wanazaliwa watoto wazuri utakuwa nao wangapi!!! Usilete issue ambazo ni binafsi za mtu tunajadili hoja iliyoletwa hapa
 
Kibunda unacho mkuu? Maana kuwa na wake wengi utakuwa na watoto wengi una uwezo wakuwalea vizuri??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hatuwezi kushindana na dunia tufanye yale ambayo yapo ndani ya uwezo wetu
Kwani kuoa lazima uzalishe?
 
Salaam,

Kuna kampeni inaendeshwa kimya kimya na wahuni kushawishi watu wasioe... Yaani watu waikatae NATURE... Maumbile yao ya asili...

Sasa wewe usipooa... Maji maji yako unayajaza unamwekea nani?

Unakataa kuoa kwa sababu ya chuki dhidi ya wanawake... Sasa ukiwachukia wanawake... Alafu uwapende wanaume eeh... Si ndio mnapoelekea kwenye kupendana wenyewe kwa wenyewe... USHOGA...

MY FRIEND OA... OA MWANAMKE HARAKA...

OA WANAWAKE HATA WAWILI WATATU MPAKA WANNE... HAYO NDIO MAUMBILE YETU TULIYOUMBIWA...

Kiasili Kimaumbile MWANAUME RIJALI ALIYE SAWA SAWA HAWEZI KUTOSHELEZWA NA MKE MMOJA...

MWANAMKE MMOJA KIMAUMBILE HAWEZI KUHIMILI MIKIKIMIKIKI YA MWANAUME RIJALI...

Ukitaka kuamini hilo... Angalia kwanini imekatazwa kumuingilia mwanamke akiwa hedhi na akitoka kujifungua mpaka damu iishe?

Kiasili Mwanamke maumbile yake yanachakaa haraka na kupoteza ladha ikiwa akiingiliwa kila siku kila mara iwe na mwanaume mmoja au na wanaume tofauti(ukitaka kuamini kawaangalie makahaba).

Na mwanaume rijali yeye anahitaji takribani kila siku apate huduma... Jambo ambalo mwanamke mmoja pekee yake haliwezi... Ndio maana uislaam kwakuwa ni dini ya kimaumbile wakaamrishwa MWANAUME MMOJA wanawake wawili watatu au wanne. Na hili jambo limethibitishwa kwa utafiti makini na LIMEJARIBIWA(MUJARRABU) Hapo nimeeleza kwa kifupi ukitaka zaidi njoo darsani kwangu.

LAKINI UKIWA HUTAKI KUOA KABISA KISA HUTAKI WANAWAKE SIJUI BLAA BLAA NYINGI... HUNA TOFAUTI NA MASHOGA... NA UNAPOELEKEA UTAKUWA SHOGA.
Huu uhamasishaji wako ungeenda sambamba na uhamasishaji wa kupunguza mahari ingekuwa bora zaidi ....mahari imekuwa kikwazo sana dada yangu......sio bara tu hata visiwani
 
Type hizo siku hizi wapo wengi ukiwa uliza wanadai dini ina ruhusu kuoa na kuacha.
NIKUULIZE SWALI... Hivi akina lowasa na akina mzee wa vijisenti... Si mafisadi wale? Je ukiwauliza si watakwambia wanakula kutokana na utaalamu wao...

Kila mtu anaweza akapotosha maandiko ili mradi ajihalalishie kilichoharamishwa... Ila kimsingi wa kidini jambo hilo ni uovu mkubwa...

Mtumeﷺ alioa lakini hakuoa na kuacha acha... Japo uislaam unaruhusu kuacha... Lakini umeweka mipaka... Sio kuacha acha tu...
 
Sasa
Tumia akili kidogo hii ni sehemu huru!! Swala la kulisha familia yake linahusiana nini? Hapa tunaongelea kuoa wake wengi hata wewe naweza kukuuliza Unapesa yakutunza hao wanawake na watoto watakao zaliwa??

Tunapojadili swala la kuwa na wanawake pia tunaangalia na swala la uwezo wakuhudumia hao wanawake...... ni kweli wapo wengi wamejaa lakini uwezo wakuwatunza wote ndo issue Kwaiyo unakuwa na kile ambacho una uwezo nacho......

Nakumbuka kabla sijaoa aliniambia babu kama unataka kuoa tafuta mtu atakae kufaa oa ila hii leo huyu kesho yule Huwezi kushindana na dunia kila siku wanazaliwa watoto wazuri utakuwa nao wangapi!!! Usilete issue ambazo ni binafsi za mtu tunajadili hoja iliyoletwa hapa
Sasa mimi hapo nimekujibu nini hapo...? Nimekujibu... Lini mtu aliyeoa wake wengi kaja kukugongea kuomba msaada umsaidie kulisha hata mtoto au mkewe mmoja...? Wanaooa wake zaidi ya mmoja kwa ajili ya Allaah hawana wasiwasi na rizki hata kidogo... Achana na wenye tamaa...
 
Back
Top Bottom