Tafuta mwanamke uoe, haya ndio maumbile tuliyoumbiwa

Tafuta mwanamke uoe, haya ndio maumbile tuliyoumbiwa

Utaratibu wa kuoa wake zaidi ya mmoja mwisho wa wanne umeletwa na uislaam...kwahiyo hata namna ya kuishi na kuendana na wake hao uislaam umeelekeza...
Ok sasa mie nataka wake nne nabadili vipi dini
 
Naam... Na ndoa hiyo ni ya makosa... Huo ndio uwezo... Uwezo unaokusudiwa... Ni ule wa kuwa na mahali pa kuwaweka kila mmoja na chumba na tandiko lake...

Hapa suala la rizki halipo...
Sasa watakula nini?
 
Kwani dini imeweka matakwa gani kabla ya mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja? Labda mtupe ufafanuzi hapo
Jambo la kwanza kabisa ni UCHAMUNGU.. Maana yake uwe unaishi kwa kufuata Amri ya Allaah na Mtume wake. Sio jitu haliswali... Zinifu... Levi... Halitoi swadaqa... Halitoi zaka... Halifungi... Alafu linataka kuongeza mke... Huyu hafai...

Pili... Ni UADILIFU... yaani uwe na uwezo wa kumtendea kila mke kulingana na haqq yake... Usimdhulumu yeyote... KIDINI, KITENDO LA NDOA, KIMALI, KIMALISHO, KIMAVAZI WALA KIHISIA... BILA KUPENDELEA UPANDE WOWOTE.

TATU... uwezo wa kuwahifadhi kila mmoja kwa nafasi yake na mahali pa kujistiri yeye na tandiko lake pekee yake... Sio washee tandiko moja wake wawili au watatu.

Ni hayo tu ya msingi... Suala la Rizki sijui atakula nini hilo halipo chini yako...
 
@mzabzab wewe kichwa boksi[emoji16]. Naolewaje na mwanamke mwenzangu?
Sasa wee sii hutaki uke wenza...mwanaume gani rijali unadhani ataridhika mba mbususu moja. Hilo tako skonsi lako lisikudanganye🤣🤣🤣🤣 akishatomber mara mbili tatu ataliona la kawaida 🤣🤣🤣🤣
 
Sasa wee sii hutaki uke wenza...mwanaume gani rijali unadhani ataridhika mba mbususu moja. Hilo tako skonsi lako lisikudanganye[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akishatomber mara mbili tatu ataliona la kawaida [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kuna vitu spesho wamfanyia mume hawezi kuwaza kuongeza mke wala kuwa na mchepuko[emoji16],
 
Back
Top Bottom