Tafuta mwanamke uoe, haya ndio maumbile tuliyoumbiwa

Aah kuna wanaume wana miziki minene binafsi siwez, huyo mmoja tu ananipa tabu hao wengi si wataniua
Kwanza ningeshangaa huu uzi usingetia neno🀣🀣🀣🀣
Good morning besty.

Wee sasa mie nataka niwapiganie mpate uhuru wee unasema oh siwezi mibolo mikubwa🀣🀣🀣 acha ufalaa wewe. Alafu huyo mmoja akikubwaga utaanza lalamika hapa oh wanaume wenyewe tabia zao kama mzabzab.
Kuwa na wanaume wengi uburudike acha kutesa moyo wako.

Alafu wee umetupiga fix toka lini andunje anduje akawa na de liboli likubwa? 🀣🀣🀣🀣
 
kataaa ndoa ya mke mmoja
Acha tuoe mitala tu, hawa wazungu ndio wametuharibia kutuletea masuala ya mke mmoja, mimi babu yangu alikua na wake 25 na watoto wasiokua na idadi maalum yaan nilifika kijijini nikaambiwa kule ulipotoka hadi hapa ulipofika hili eneo loooote lilikua eneo la babu yako nilichoka, walipoleta dini na ndani ya dini huku wakachomekea ndoa ya mke mmoja huku wakasema wake wanne.. Mimi kwangu hata wanne hawanitoshi ile spirit ya babu yangu ipo ndani inabidi niwe nao wengi 25+ na watoto wa kumwaga km utitiri mpaka wengine nisiwajue na kuwatambua ndio tumeumbwa hivyo sio kubanwabanwa na hizi kurumbembe za kidini

RIP FelaKuti
 
🀣🀣 No comment
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Unavyojipigia pande SasaπŸ™ŒπŸ™Œ

Mimi mwenyewe nashangaa..huu Ni ukatili wa kijinsia bana..anzisha kampeni nipo pembeni yako 🀣🀣🀣🀣
Usijali tupo pamoja kwenye hilo na nitalisimamia. Mwanamke lazima apewe uhuru wa kugegedwa na wanaume wengi pasipo kuonekana malaya.

Mwanamke ana matamanio kama sie wanaume na genye zake lazima zitulizwe sio tuu na de libolo limoja bali na mabolooo 🀣🀣🀣🀣
 
Siyo lazima nifuge ng'ombe ndo ninywe maziwa..

Ukioa wewe na wanao Inatosha ...

Usitupangie maisha
 
Hizi Target za kutubana wanaume kuoa mke mmoja sijui kuoa wake wanne ndio zimepelekea idadi ya wanaume rijali kupungua na wengine kuamua kua MASHOGA maana wanabaniwa nyuchi ilibidi wanaume waoe wanawake kuanzia 15 20 na kuendelea sio chini ya hapo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndio hao sasa waliopoteza urijali wao...mwisho wa wakawa wanafanywa wao sasa...

Allaah aniepushie mimi na kizazi changu...
Kufanywa hakuhusiani na kuweka kazi kama kipaumbele. Yaani daktari akiamua kutumia muda kutafiti utabibu mpaka kukosa muda wa ngono atafanywa yeye. Umedanganywa.
 
Aaah kumbe ni mzee wa darsa na ilmu akhera .. ustaadh maalim sheikh ... Taqbir allahu akbar...

Basi acha nisiichoshe akili yangu
 
Tokomeza wauni na kaul mbiu zao za ovyo ovyo 😁😁😁
 
Allah akbar
Naunga mkono hoja
Tuoe sana ila akizingua talaka ifanye kazi
 
Na nyie mkubali kuletewa wake wadogo sio mnaanza leta fyoko fyoko oh mie ndoa ya wake wengi sitaki.

Niulize tuu jamani hivi ndoa ya wake wengi unaruhusiwa kupiga threesome/ foursome nao?
HAIRUHUSIWI HATA KUWAKUSANYA CHUMBA KIMOJA... NI BORA USIOE MPAKA UPATE UWEZO WA KUWATENGANISHA...
 
Hakuna kitu kizuri duniani kama kupeleka moto. Sijui wale jamaa wanakwama wapi!!??
Mimi naangalia kalenda tu. Kama mwezi huu nimedeal na (short chasis)wanawake wafupi. Basi mwezi ujao ninadeal na big mamaz.....
Hii haifai... OA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…