Tafuta pesa Kwa nguvu, dunia ni katili Kwa maskini

Tafuta pesa Kwa nguvu, dunia ni katili Kwa maskini

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,040
Reaction score
33,028
Kwanza nianze kuipongeza serikali ya awamu ya sita Kwa kuimarisha amani na democrasia
Dunia ya Leo identity kubwa ya mwanaume inatokana kiasi Gani Cha pesa unachomiliki/ inatokana na the way unavyotegemewa kwenye maamuzi yatakayohitaji pesa .........

Mambo Yale ya mwanaume busara hayapo kwenye ulimwengu huu .....kulingana na kanuni zaasili zinazoongoza ulimwengu " survive for the fittest
Mfano kipindi kile kabla sijawa miongoni mwa mabilionea hapa tz Kuna pisi apa mjini hata nikizisalimia zilikua zinani kaushia ...lakini saizi nikifungua tu kioo Cha harrier yangu .....pisi zinaloana automatically

Nb: Mwanaume tafuta pesa Kwa nguvu dunia ina ukatili heavy Kwa maskini
 
Kwanza nianze kuipongeza serikali ya awamu ya sita Kwa kuimarisha amani na democrasia
Dunia ya Leo identity kubwa ya mwanaume inatokana kiasi Gani Cha pesa unachomiliki/ inatokana na the way unavyotegemewa kwenye maamuzi yatakayohitaji pesa .........
Mambo Yale ya mwanaume busara hayapo kwenye ulimwengu huu .....kulingana na kanuni zaasili zinazoongoza ulimwengu " survive for the fittest
Mfano kipindi kile kabla sijawa miongoni mwa mabilionea hapa tz Kuna pisi apa mjini hata nikizisalimia zilikua zinani kaushia ...lakini saizi nikifungua tu kioo Cha harrier yangu .....pisi zinaloana automatically
Nb: mwanaume tafuta pesa Kwa nguvu dunia ina ukatili heavy Kwa maskini
TRASH
 
Kwamba watu wamelala sio hawatafuti?

Hii kauli ya tafuta pesa! tafuta pesa! Ni kauli za wajinga tu.

Kwani watu wamelala hawatafuti hizo pesa?
Inategema mkuu ....mfano unapambana Kwa kuuza uduvi wa 300 .....utatoboa lini ????? in chalamila voice 😂😂
 
Hizi hasira ukihamishia kwenye utafutaji .......utamzidi Elon musk kwenye utajiri
Unafananisha mazingira ya utafutaji kati ya first world country USA na Third world Country Tanzania?

Huyo Elon Musk angezaliwa hapa Tanzania, Wala asingeweza kuwa Trillionaire.

Kwa hiyo point yako haina logic. Hata mtu atafute vipi au apambane vipi kwenye hizi nchi za Afrika, hawezi kuzidi watu ambao tayari wako kwenye nchi za uchumi wa juu.
 
Inategema mkuu ....mfano unapambana Kwa kuuza uduvi wa 300 .....utatoboa lini ????? in chalamila voice 😂😂
Watu kuuza uduvi wa 300 ni kiashiria tosha hawana option nyingine na nchi yao ndio imewafelisha mpaka kufikia hatua ya kuuza uduvi.

Hakuna mtu anayeweza kuuza uduvi wa 300 kama nchi ina kazi nyingi za kuajiri Watu wake na kuwalipa mshahara mkubwa.

Labda mtu huyo awe kichaa.

Ukiona mtu anauza uduvi wa 300, Nchi yake anayoishi ni choka mbaya pia.
 
Back
Top Bottom