Kwa Sasa sioni kipya kama bata nimekula sana, nimevaa sanaa, show sana nimetumia pesaa sanaaOnly fool can say that ......ni kauli ya maskini kujifariji
NdioBaada ya kujipata...sio
Huyu si mjinga tu.. anaongea as if kichwa anabebea kamasi. hapo alipo yupo kwa shemeji mme wa dada yake. Kala ganji alipoagizwa vitunguu kaona aweke bundle atuletee huu utumbo.Hahaha,
Billionaire na harrier?
Mkuu Kuna maeneo huyu mbona tajili 😂😂 wazee wote wa Kijiji anawashauri kabisaHahaha,
Billionaire na harrier?
Unaambiwa na nani?unaambiwa Tz ndo nchi yenye fulsa nyingi zaid Africa
Halafu ni bilionea!Jinga kabisa huyo jamaa."Kwanza nianze kuipongeza serikali ya awamu ya sita Kwa kuimarisha amani na democrasia"
Hamna kitu humu🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
I'm free abouth this Stupidy thought and i'm not money or material orientedKwanza nianze kuipongeza serikali ya awamu ya sita Kwa kuimarisha amani na democrasia
Dunia ya Leo identity kubwa ya mwanaume inatokana kiasi Gani Cha pesa unachomiliki/ inatokana na the way unavyotegemewa kwenye maamuzi yatakayohitaji pesa .........
Mambo Yale ya mwanaume busara hayapo kwenye ulimwengu huu .....kulingana na kanuni zaasili zinazoongoza ulimwengu " survive for the fittest
Mfano kipindi kile kabla sijawa miongoni mwa mabilionea hapa tz Kuna pisi apa mjini hata nikizisalimia zilikua zinani kaushia ...lakini saizi nikifungua tu kioo Cha harrier yangu .....pisi zinaloana automatically
Nb: Mwanaume tafuta pesa Kwa nguvu dunia ina ukatili heavy Kwa maskini
Mkuu huoni utofaut wa Congo na Tz ... kwenye aspect ya amaniNilipofika tu kwenye kuipongeza serrkali ya awamu ya 6 kuimarisha Demokrasia ..... Nikaona kabisa kama nasoma habari ya kibwengo kimoja kama magoti!!. Demokrasia which?, amani which?.
Tafuta pesa kwa "nguvu" neno nguvu linatisha. "By anymeans" hapo neno "msukule " litajitokeza.Kwanza nianze kuipongeza serikali ya awamu ya sita Kwa kuimarisha amani na democrasia