🚮🚮🚮 mpaka hapo mada yako ni takatakaKuipongeza ni lazma mkuu
TRASHKwanza nianze kuipongeza serikali ya awamu ya sita Kwa kuimarisha amani na democrasia
Dunia ya Leo identity kubwa ya mwanaume inatokana kiasi Gani Cha pesa unachomiliki/ inatokana na the way unavyotegemewa kwenye maamuzi yatakayohitaji pesa .........
Mambo Yale ya mwanaume busara hayapo kwenye ulimwengu huu .....kulingana na kanuni zaasili zinazoongoza ulimwengu " survive for the fittest
Mfano kipindi kile kabla sijawa miongoni mwa mabilionea hapa tz Kuna pisi apa mjini hata nikizisalimia zilikua zinani kaushia ...lakini saizi nikifungua tu kioo Cha harrier yangu .....pisi zinaloana automatically
Nb: mwanaume tafuta pesa Kwa nguvu dunia ina ukatili heavy Kwa maskini
😂😂 Trash auco🚮🚮🚮 mpaka hapo mada yako ni takataka
Chukua na haya 🗑️🗑️🗑️🗑️🗑️🗑️🚮🚮🚮 mpaka hapo mada yako ni takataka
Inategema mkuu ....mfano unapambana Kwa kuuza uduvi wa 300 .....utatoboa lini ????? in chalamila voice 😂😂Kwamba watu wamelala sio hawatafuti?
Hii kauli ya tafuta pesa! tafuta pesa! Ni kauli za wajinga tu.
Kwani watu wamelala hawatafuti hizo pesa?
Unafananisha mazingira ya utafutaji kati ya first world country USA na Third world Country Tanzania?Hizi hasira ukihamishia kwenye utafutaji .......utamzidi Elon musk kwenye utajiri
Watu kuuza uduvi wa 300 ni kiashiria tosha hawana option nyingine na nchi yao ndio imewafelisha mpaka kufikia hatua ya kuuza uduvi.Inategema mkuu ....mfano unapambana Kwa kuuza uduvi wa 300 .....utatoboa lini ????? in chalamila voice 😂😂