Mkuu unapingana na wahenga .......mbuyu ulianza kama mchichaUnafananisha mazingira ya utafutaji kati ya first world country USA na Third world Country Tanzania?
Huyo Elon Musk angezaliwa hapa Tanzania, Wala asingeweza kuwa Trillionaire.
Kwa hiyo point yako haina logic. Hata mtu atafute vipi au apambane vipi kwenye hizi nchi za Afrika, hawezi kuzidi watu ambao tayari wako kwenye nchi za uchumi wa juu.
Si kweli mkuu ...biashara zipo nyingi sana unaambiwa Tz ndo nchi yenye fulsa nyingi zaid AfricaWatu kuuza uduvi wa 300 ni kiashiria tosha hawana option nyingine na nchi yao ndio imewafelisha mpaka kufikia hatua ya kuuza uduvi.
Hakuna mtu anayeweza kuuza uduvi wa 300 kama nchi ina kazi nyingi za kuajiri Watu wake na kuwalipa mshahara mkubwa.
Labda mtu huyo awe kichaa.
Ukiona mtu anauza uduvi wa 300, Nchi yake anayoishi ni choka mbaya pia.
Labda fursa za kupiga maboya.Si kweli mkuu ...biashara zipo nyingi sana unaambiwa Tz ndo nchi yenye fulsa nyingi zaid Africa
Hasa kwenye injili unateleza nao shwaa kama kipangaLabda fursa za kupiga maboya.
Maana kweli hii nchi ina maboya wengi wa kuwapiga.
Kuanzia Serikali hadi raia, wanapigwa kila kukicha.
Kabisa mkuu.Hasa kwenye injili unateleza nao shwaa kama kipanga
Tatizo kuu la maskini na hasira na wivu. Mleta mada waambie na hilo."Kwanza nianze kuipongeza serikali ya awamu ya sita Kwa kuimarisha amani na democrasia"
Hamna kitu humu🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Nyie mpo wapi?Pambana mkuu...ufike huku tulipo
Dar ina mambo sana, unakuta mdada analipia chumba Tsh 150,000 kwa mwezi, ndani ana Tv 52 hisence, ana Wi-fi ya unlimited bundle 70000 kwa mwezi na ana kila kitu ndani.🙌🏻🙌🏻🙌🏻Kwamba watu wamelala sio hawatafuti?
Hii kauli ya tafuta pesa! tafuta pesa! Ni kauli za wajinga tu.
Kwani watu wamelala hawatafuti hizo pesa?
Yageuze kwa dollar za kimarekani tuone urefu wa kamba yakoHaya haya mkuu....ndo yananifanya navimba town
Kwanza mimi sio dada.Dar ina mambo sana, unakuta mdada analipia chumba Tsh 150,000 kwa mwezi, ndani ana Tv 52 hisence, ana Wi-fi ya unlimited bundle 70000 kwa mwezi na ana kila kitu ndani.🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Lakini hana kazi……. Wadada wa Dar mnapata wapi hela na hamna kazi?
Logic 🎯💯Unafananisha mazingira ya utafutaji kati ya first world country USA na Third world Country Tanzania?
Huyo Elon Musk angezaliwa hapa Tanzania, Wala asingeweza kuwa Trillionaire.
Kwa hiyo point yako haina logic. Hata mtu atafute vipi au apambane vipi kwenye hizi nchi za Afrika, hawezi kuzidi watu ambao tayari wako kwenye nchi za uchumi wa juu.