Tafuta pesa Kwa nguvu, dunia ni katili Kwa maskini

Vijana wengi wanamaono makubwa na wapo tayari il tatizo mitaji, utasema anza na kidogo ulichonacho changamoto iliopo ni mahitaji yakila siku ili mtu uishi na unakula ichoicho kimtaji unafikiri utafika wapi, zaidi kufanya kazi kwa wahindi kulipwa 5000 kwa siku ambayo kula haitoshi,
 
Amka usije ukanya kitandani
Amka usije ukanya kitandani
 
sai madem wameanza kunisogelea sio mm nnaowatafuta wanajileta wenyewe tu wananipa namb bil kuwaomb
 
kipind cha nyuma madem walkuw wananionyesha dharau ata wengn walkuw wananitemea mate
 
Sio lazima ukae dar ....naenda mikoani huko....5000 ni kubwa sana
 
Money can't buy happiness.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…