Tafuta pesa Kwa nguvu, dunia ni katili Kwa maskini

Nilipofika tu kwenye kuipongeza serrkali ya awamu ya 6 kuimarisha Demokrasia ..... Nikaona kabisa kama nasoma habari ya kibwengo kimoja kama magoti!!. Demokrasia which?, amani which?.
 
I'm free abouth this Stupidy thought and i'm not money or material oriented
 
Nilipofika tu kwenye kuipongeza serrkali ya awamu ya 6 kuimarisha Demokrasia ..... Nikaona kabisa kama nasoma habari ya kibwengo kimoja kama magoti!!. Demokrasia which?, amani which?.
Mkuu huoni utofaut wa Congo na Tz ... kwenye aspect ya amani
 
Tafuta pesa kwa "nguvu" neno nguvu linatisha. "By anymeans" hapo neno "msukule " litajitokeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…