plagiarism
Senior Member
- Jul 14, 2021
- 133
- 296
Hii ni kauli ambayo imekuwa ikitrend sana tokea mwaka jana Hadi Leo huku ikifanya wengine wajikwamue na wengine bado wasipate njia za kutoka. Binafsi nimegawanya katika njia mbili,
1: WATU WENYE AJIRA
2: WATU WASIO NA AJIRA
1: WATU WENYE AJIRA.
Binafsi nimekuwa mmoja wa mashuda katika hili Kama uko kwenye ajira fanya yafuatayo.
i. Jua mshahara wako na usijilinganishe na wengine
ii. Panga bajeti yako na hakikisha unaifuata huku usisahau hela ya dharura
iii. Hakikisha unaweka Akiba katika bajeti yako kutokana na mambo unayoyataka ndani ya mda Fulani.
iv. Kuwa na nidhamu ya pesa wakati wote.
v. Punguza matumizi yasiyo yalazima itakusaidia sana
Nb: Heshimu mazingira yako ya kazi maana ndo inakufanya upate hiyo hela
2: WATU WASIO NA AJIRA
Hili Ni liko kwa watu wengi lakini nakusihi usikate tamaa anzia hapo hapo ulipo kwa kuzingatia haya.
i. Ongea na watu (acha aibu).
Unaweza kuta watu wanauhitaji na wewe lakini hujitangazi na mara nyingi unakosa fursa zilizopo.
ii. Usitegemee msaada sana kwa ndugu, jamaa na marafiki
Kumbuka msaada sio haki yako unaweza pewa au usipewe so usiweke sana kwamba utapata kupitia hawa.
iii. Anza biashara kwa ulichonacho.
Watu wengi huzani mitaji mikubwa ndo kila kitu ila ntatolea mfano huu. Kuna jamaa anaitwa G alianza na mtaji wa 20,000 tu biashara ya mtumba. Na mwingine alitoa wazo tu akaambiwa lifanyie kazi na akapewa mtaji(jichanganye).
iv. Nidhamu ya fedha.
Hii imejirudia tena ikimaanisha ni muhimu kuwa na nidhamu ya fedha punguza matumizi yasiyo yalazima.
v. Ukifanikiwa kupata faida usiile yote hakikisha unaigawa kidogo kwa kuongeza katika mtaji wako.
vi. Jifunze kusoma historia za watu walio sawa na biashara yako itakuongeza ujuzi zaidi na mbinu za kupambana.
USISAHAU KUMUOMBA MUNGU NDO KILA KITU.

Upvote
7