Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Nyama nzuri ila zipo boring.. raha visoap dish asee

Ukigusa kifua unaskia mapigo ya moyo mubashara😊😊
Haha umenikumbusha mkifunga shule ukirudi nyumbani mama anakuangalia anasema mwanangu umekonda hapo unadeka ndio mama 😂
 
Mkuu,wawili ni wachache mno

Nafasi ya kwanza inaenda kwa my all time crush tangu najiunga JF,namuona yeye tu japo simfahamu lakini napicture muonekano wake....popote ulipo kama utapita hapa jua nakukubali sana
chaliifrancisco na sis Khantwe najua mnajua nani namaanisha

Wa pili ni kina Depal Khantwe Carleen Saint Anne Hawachi Zoë mahondaw Shadeeya Sky Eclat karma sijui kabadili ID? Shunie Sakayo yna2 na wengine wachache waliobaki nimesahau IDs zao
Ahsante mdogo wangu, ifike wakati uvunje ukimya sasa
 
Back
Top Bottom