Babu nilimkataa akaanza kuniambia me kibibi eti ππππUcnambiee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Babu hapoi wala haboi.
[emoji23][emoji23][emoji23] lakinj kuna kipindi zamani mlikua mnachat sana mkawa marafikiBabu utamuweza kwa kupenda sifa? Hata sura yangu haijui alitaka kiki tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ungemkubalia tuBabu nilimkataa akaanza kuniambia me kibibi eti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hiyo nimepost pic yangu kaanza kusifia βChuma ya Kantry hiyoβ jamaa anafaidi muwe mnatukubali na sie [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] exactlyBad weather dish no signal [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamanii mie sitakiiSijui ss hivi anawatapeli kina nani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Yupo uzi wa vyakula huko
ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] exactly
Aiseee nimeamka hapa coca, naomba hizo screenshots. Nisaule mama maleziNi yeye mwenyewe, tena mie ningetaka kusema ningesema mapema, ila nilkua namuheshimu mama malezi,
Nilipata ubuyuu kwa member mwingine kabisa kuwa mama malezi kadate na yule babuu, had secrenshots alinipa.
Nkawa najisemea iko siku litalipuka hili ndo tutajua rangi halisi za watu. Kuhusu wee hapana, ila mama malezi ndo nilikua najua.
Tulia wewe upate hizo screenshotsDah
Nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi hadi kesho nikawa namtafuta wa kunizushia
Nikawa najiuliza sipati majibu..
Mbona jamaa nilionana naye kijiwe Cha kahawa.. na mtu pekee alikuwa anajua ni Mr na nilimuupdate kila kitu maana alikuwa anasikiliza mazungumzo yote Kwa call.
Huyo HS hata sura yake haijui.
Nyie[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi binafsi nimeonana naye first time Dodoma nilienda Kanisani..[emoji23][emoji23][emoji23] lakinj kuna kipindi zamani mlikua mnachat sana mkawa marafiki
UsilaleeeeHebu nilale Mimi [emoji23]
Lile battle hivi liliishia wapi?
Yule jamaa Rabitas sijui alipotelea wapi?
Hivi Tinsley hajarudi tu?
Anyway
Kuna maisha baada ya selfika..
Warudi jukwaani waendelee kuenjoy maisha.
πππππTulia wewe upate hizo screen shots
Bado hujasema.Mimi binafsi nimeonana naye first time Dodoma nilienda Kanisani..
Nikaja onana naye tena mcity nikiwa kwenye mishe za kaushadamu za muhindi
Nikaonana naye tena mcity nanenane nikiwa na familia yangu
Yaani Kwa upande wangu alikuwa mtu muungwana sana
Na stori pekee tunapiga ni za Kanisani...
Yaani jamaa ni mpole.. sikuona taswira yoyote mbaya kutoka kwa jamaa kusema kweli.
Binafsi siwezi kumsema vibaya.. maybe hiyo kampani yake ndio imemletea balaa.
Hizo stori nyingine zilivyoletwa nilishangaa sana
Na wakati zikiendelea, aliwatafuta mods kuwa anachafuliwa..
Hiyo pm alituma Kwa mods, alituadd baadhi ya members kwenye hiyo pm.
Anyway
Ukweli anao Mungu.
Hivi nilikuwa najiandaa kukutunzia screenshot πUsilaleeee
Wallah Mimi nazisubiri kwa hamu hizo screen shots. Niumbuke leo mtu mzimaπππππ
Ngoja watupe.
Bora ningesemwa Mimi tu ambaye nimewahi onana naye.
Aliyekujumlisha na wewe ndo alinichosha zaidiπ€£
Hadi nisemeπ
Coca tunaziombaWallah Mimi nazisubiri kwa hamu hizo screen shots. Niumbuke leo mtu mzima
Ndiyo nimeamka hapa, zitanikuta hapahapa mbonaHivi nilikuwa najiandaa kukutunzia screenshot π
Hatujamaliza wanathimbaaaDamu ya Yesu itulinde wote tulale salama π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjanja huyoMimi binafsi nimeonana naye first time Dodoma nilienda Kanisani..
Nikaja onana naye tena mcity nikiwa kwenye mishe za kaushadamu za muhindi
Nikaonana naye tena mcity nanenane nikiwa na familia yangu
Yaani Kwa upande wangu alikuwa mtu muungwana sana
Na stori pekee tunapiga ni za Kanisani...
Yaani jamaa ni mpole.. sikuona taswira yoyote mbaya kutoka kwa jamaa kusema kweli.
Binafsi siwezi kumsema vibaya.. maybe hiyo kampani yake ndio imemletea balaa.
Hizo stori nyingine zilivyoletwa nilishangaa sana
Na wakati zikiendelea, aliwatafuta mods kuwa anachafuliwa..
Hiyo pm alituma Kwa mods, alituadd baadhi ya members kwenye hiyo pm.
Anyway
Ukweli anao Mungu.