Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Ni yeye mwenyewe, tena mie ningetaka kusema ningesema mapema, ila nilkua namuheshimu mama malezi,

Nilipata ubuyuu kwa member mwingine kabisa kuwa mama malezi kadate na yule babuu, had secrenshots alinipa.

Nkawa najisemea iko siku litalipuka hili ndo tutajua rangi halisi za watu. Kuhusu wee hapana, ila mama malezi ndo nilikua najua.
Aiseee nimeamka hapa coca, naomba hizo screenshots. Nisaule mama malezi
 
Dah
Nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi hadi kesho nikawa namtafuta wa kunizushia
Nikawa najiuliza sipati majibu..
Mbona jamaa nilionana naye kijiwe Cha kahawa.. na mtu pekee alikuwa anajua ni Mr na nilimuupdate kila kitu maana alikuwa anasikiliza mazungumzo yote Kwa call.

Huyo HS hata sura yake haijui.

Nyie[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulia wewe upate hizo screenshots
 
[emoji23][emoji23][emoji23] lakinj kuna kipindi zamani mlikua mnachat sana mkawa marafiki
Mimi binafsi nimeonana naye first time Dodoma nilienda Kanisani..
Nikaja onana naye tena mcity nikiwa kwenye mishe za kaushadamu za muhindi
Nikaonana naye tena mcity nanenane nikiwa na familia yangu
Yaani Kwa upande wangu alikuwa mtu muungwana sana
Na stori pekee tunapiga ni za Kanisani...
Yaani jamaa ni mpole.. sikuona taswira yoyote mbaya kutoka kwa jamaa kusema kweli.
Binafsi siwezi kumsema vibaya.. maybe hiyo kampani yake ndio imemletea balaa.

Hizo stori nyingine zilivyoletwa nilishangaa sana
Na wakati zikiendelea, aliwatafuta mods kuwa anachafuliwa..
Hiyo pm alituma Kwa mods, alituadd baadhi ya members kwenye hiyo pm.

Anyway
Ukweli anao Mungu.
 
Bado hujasema.

cocastic weeee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjanja huyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom