Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Duh aisee
Hebu tuone maana haya ni maajabu ya huu mwakaπŸ˜†
 
We mdudu wa bunju lala bwanaπŸ˜‚
Au unapenda umbea? 🀣

Hivi huyu mdudu ndo nani?
Asije kuwa anatuchoraπŸ˜‚
 
Ngoja sasahivi na mimi nijidai mtoa ajira🀣

Sema watu Tambo za ajira huwa wanazichukulia serious
Mm mtu akinambia mambo ya ajira huwa namsikiliza tu afu napotezea..
Atajiongelesha, akiona sizingatii anaacha.



Sema vijana wengi tupo desperate ajira kiasi cha kupapatikia mtu anayesema atakupa kazi mwisho wake ni kujenga matarajio makubwa na disappoinment za kutosha.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…