Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Ni yeye mwenyewe, tena mie ningetaka kusema ningesema mapema, ila nilkua namuheshimu mama malezi,

Nilipata ubuyuu kwa member mwingine kabisa kuwa mama malezi kadate na yule babuu, had secrenshots alinipa.

Nkawa najisemea iko siku litalipuka hili ndo tutajua rangi halisi za watu. Kuhusu wee hapana, ila mama malezi ndo nilikua najua.
Duh aisee
Hebu tuone maana haya ni maajabu ya huu mwaka😆
 
We mdudu wa bunju lala bwana😂
Au unapenda umbea? 🤣

Hivi huyu mdudu ndo nani?
Asije kuwa anatuchora😂
 
Ngoja sasahivi na mimi nijidai mtoa ajira🤣

Sema watu Tambo za ajira huwa wanazichukulia serious
Mm mtu akinambia mambo ya ajira huwa namsikiliza tu afu napotezea..
Atajiongelesha, akiona sizingatii anaacha.



Sema vijana wengi tupo desperate ajira kiasi cha kupapatikia mtu anayesema atakupa kazi mwisho wake ni kujenga matarajio makubwa na disappoinment za kutosha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom