Tahadhali kwa wenye mamlaka: Watu wamekataa tamaa na hawaogopi tena risasi wala kukaa mahabusu au kwenda jela

Mi mwanangu nimemwambia ukienda kwenye maandamano na ukivunjwa miguu au ukikamatwa mi sihusiki na msaada wowote ule.
Ninemuuliza kwenye ukoo wetu Kuna mtu katekwa? Kama hakuna utajishughulisha vipi na mambo yasiyokuhusu
 
Kila kitu kitategemea na waongozaji wa hayo maandamano ambao ni viongozi wa Chadema, kama wataamka wakiwa mahabusu au majumbani mwao.

Ova
 
Marufuku Iko pale pale πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DAOWePCsolT/?igsh=b3A2NDN2cmdiaHBj
 
 
Watu wanaenda kuchagua Kati ya afadhari na angarau sio masiara

Kuna jamaa kasema kwahali ilivyo mtaani Bora apigwe risasi au akale Dona ya bule jera"

Nimeskitika sana
Kuna mwana nimeona anasema kwenye mtandao flan kuwa bora wamkamate akale ugali wa bure na ni graduate
 
Sisi
Tunawashangaa wapalestina kwa namna wana yopukutishwa.Scenario yao na CHADEMA ni moja.
 
Wanazaliwa lini acha fikra hzo, wanapozaliwa we unakuwa ushasikinika
Mabadiliko huwa hayakwepeki. Mtabana lakini mtaachia tu. Na hiki wanachokifanya cdm ndio kitachangia kuleta mabadaliliko ya kweli.

Mwisho wa ccm kuendelea kutawala nchi hii kwa shuruti utakuwa wa umwagaji mkubwa wa damu, labda itokee watu wenye busara wawambie kuwa wakati ni ukuta, na ccm sio chama cha kizazi hiki.
 
Watanganyika hawahawa au wengine?
Kuandamana ni kujitoa muhanga kunakoendana sambamba na watu wenye sifa hizi zifuatazo:
(1) Misimamo isiyoyumba,
(2)Kupenda haki
(3) Kuchukia kwa nadharia na vitendo ubanafsi.
(4) Kuwa wakweli wa maneno na vitendo.
Katika wadanganyika na wazinj takriban milioni 65, wenye sifa hizo hapo nne hawafiki hata 650 ambao ni sawa na takriban asilimia 0.00001.
 
Ndugu zangu Mimi Niko neutral,Sina wadhifa wowote wa kunifanya nizungumze nisikike na wengi na kauli yangu ichukuliwe maanani Sana,kwa udogo wangu naomba nizungumze haya kuhusu maandamano ya chadema, UPANDE WA SERIKALI na Askari naiona damu nyingi ya watu ikienda kumwagika,hapa hatutafuti mshindi lakini naomba kabisa BUSARA itumike ,waacheni CHADEMA waandamane watoe hisia zao,waache waseme lililoko mioyoni mwao,jamani sote kufiwa na jamaa zetu wa karibu tunajua joto lake na maumivu yake,Hawa jamaa CHADEMA,wamefiwa n wanachama wenzao wa karibu,ukiwa Tisha suala la kuwaua wako tayari, Sasa hatuwezi kwenda hivi naomba waacheni CHADEMA waandamane watoe hisia zao za mioyoni,kuliko kuwakabili kwa bunduki na risasi,damu hizo zikimwagika wakiwa katika harakati za kuomboleza,hakika tutakuwa tumepandikiza roho ya kisasi ndani ya udongo wa nchi yetu,na laana hii itatutafuna Sana,Kama nchi kumbuka Kuna matukio ya uchaguzi yanakuja,hakika kisasi Cha kutekana tutakuwa tumekimwagilia maji ya rutuba kipindi Cha uchaguzi na kampeni 2025 kitatawaliwa na umwagaji damu Sana ,hasa kutokana na damu itakayomwagika kesho,simwoni askari mwenye weredi wa kurudi nyuma na kuheshimu kutokumwagika kwa damu,lakini pia sioni CHADEMA wakirudi nyuma,hii ni hatari Sana,tutakuwa tumeandaa mazingira y violence uchaguzi ujao,wito:- WAACHENI CHADEMA WAANDAMANE
 
Chadema ni matapeli Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…