Tahadhali kwa wenye mamlaka: Watu wamekataa tamaa na hawaogopi tena risasi wala kukaa mahabusu au kwenda jela

Mi mwanangu nimemwambia ukienda kwenye maandamano na ukivunjwa miguu au ukikamatwa mi sihusiki na msaada wowote ule.
Ninemuuliza kwenye ukoo wetu Kuna mtu katekwa? Kama hakuna utajishughulisha vipi na mambo yasiyokuhusu
 
Jana niliweka uzi hapa nikionya watawala kuwa unyanyasaji ukizidi, unafanya watu wafike point of no return na wanakuwa tayari kwa lolote: kuuwawa, kuumiziwa, kufungwa jela, n.k).

Nilisema kadri watu wanavyouwawa, kuteswa, kupotezwa, n.k, wanaobaki wanajengea ujasiri na wanafikia hatua wanaona na wao hawana tena cha kupoteza na hiki ndio sasa kinakwenda kutumia. Tunakwenda kubaya.

Leo kupitia mtandao wa X, viongozi wakuu wa CHADEMA (Mbowe na Lissu) wameonyesha kuwa wako tayari kwa lolote hata kama ni kwa kupoteza uhai wao wataandamana(wamethibitisha maneno yangu)

Nilitamani sana maneno niliyoyasema mimi yangesemwa na watu wenye kuheshimika na wenye ushawishi katika jamiii, labda ujumbe ungewafikia watu wengi zaidi na ungepewa uzito.

Ni bahati mbaya watu wenye ushawishi wamechagua kukaa kimya, ila nawaambia mtawasikia wakitoa kauli baada ya mambo kuharibu.

Tunamshukuru Mzee Butiku kwa kusema aliyoyasema walau katimiza wajibu wake.

Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Nchimbi hakuwa serious katika hotuba yake ya hivi karibuni, hivyo sioni kama alikuwa na msaada wowote kws chama chake na Taifa kwa ujumla.

Uzi husika ni huu:

Niliyoyasema ndio haya yameanza kutimia:
Kila kitu kitategemea na waongozaji wa hayo maandamano ambao ni viongozi wa Chadema, kama wataamka wakiwa mahabusu au majumbani mwao.

Ova
 
Jana niliweka uzi hapa nikionya watawala kuwa unyanyasaji ukizidi, unafanya watu wafike point of no return na wanakuwa tayari kwa lolote: kuuwawa, kuumiziwa, kufungwa jela, n.k).

Nilisema kadri watu wanavyouwawa, kuteswa, kupotezwa, n.k, wanaobaki wanajengea ujasiri na wanafikia hatua wanaona na wao hawana tena cha kupoteza na hiki ndio sasa kinakwenda kutumia. Tunakwenda kubaya.

Leo kupitia mtandao wa X, viongozi wakuu wa CHADEMA (Mbowe na Lissu) wameonyesha kuwa wako tayari kwa lolote hata kama ni kwa kupoteza uhai wao wataandamana(wamethibitisha maneno yangu)

Nilitamani sana maneno niliyoyasema mimi yangesemwa na watu wenye kuheshimika na wenye ushawishi katika jamiii, labda ujumbe ungewafikia watu wengi zaidi na ungepewa uzito.

Ni bahati mbaya watu wenye ushawishi wamechagua kukaa kimya, ila nawaambia mtawasikia wakitoa kauli baada ya mambo kuharibu.

Tunamshukuru Mzee Butiku kwa kusema aliyoyasema walau katimiza wajibu wake.

Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Nchimbi hakuwa serious katika hotuba yake ya hivi karibuni, hivyo sioni kama alikuwa na msaada wowote kws chama chake na Taifa kwa ujumla.

Uzi husika ni huu:

Niliyoyasema ndio haya yameanza kutimia:
Marufuku Iko pale pale 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DAOWePCsolT/?igsh=b3A2NDN2cmdiaHBj
 
20240922_145010.jpg
20240922_144504.jpg
 
Watu wanaenda kuchagua Kati ya afadhari na angarau sio masiara

Kuna jamaa kasema kwahali ilivyo mtaani Bora apigwe risasi au akale Dona ya bule jera"

Nimeskitika sana
Kuna mwana nimeona anasema kwenye mtandao flan kuwa bora wamkamate akale ugali wa bure na ni graduate
 
Sisi
sasa gentleman,
ukipgwa risasi na ukaumizwa vibaya si utatibiwa tu na maisha ya wengine yatasonga japo watakao sumbuka ni familia husika...

Laa ukipigwa risasi na kupoteza maisha, walio hai hawatakuacha hivyo hivyo, watazika mwili na maisha mengine ya walio hai yataendelea kama kawaida tu, hakuna kitakacho simama..

hakuna haja kujipiga kifua kwenye vitu ambavyo vitakuathiri wewe mwenyewe na ndugu zako..

Katika masuala ya Afya ya akili, dalili za mwanzo kabisaa, ni pamoja muhusika mwenye husika kuwaza, kuamua na kutenda mambo ambayo yatamuathiri yeye mwenyewe 🐒

chukulia mfano wa mambo anayoyafanya kichaa yeyote unaemfaahumu? hivi yale anayoyafanya, yanamsaidia au yatamuathiri tu mwenyewe?🐒
Tunawashangaa wapalestina kwa namna wana yopukutishwa.Scenario yao na CHADEMA ni moja.
 
Wanazaliwa lini acha fikra hzo, wanapozaliwa we unakuwa ushasikinika
Mabadiliko huwa hayakwepeki. Mtabana lakini mtaachia tu. Na hiki wanachokifanya cdm ndio kitachangia kuleta mabadaliliko ya kweli.

Mwisho wa ccm kuendelea kutawala nchi hii kwa shuruti utakuwa wa umwagaji mkubwa wa damu, labda itokee watu wenye busara wawambie kuwa wakati ni ukuta, na ccm sio chama cha kizazi hiki.
 
Watanganyika hawahawa au wengine?
Kuandamana ni kujitoa muhanga kunakoendana sambamba na watu wenye sifa hizi zifuatazo:
(1) Misimamo isiyoyumba,
(2)Kupenda haki
(3) Kuchukia kwa nadharia na vitendo ubanafsi.
(4) Kuwa wakweli wa maneno na vitendo.
Katika wadanganyika na wazinj takriban milioni 65, wenye sifa hizo hapo nne hawafiki hata 650 ambao ni sawa na takriban asilimia 0.00001.
 
Ndugu zangu Mimi Niko neutral,Sina wadhifa wowote wa kunifanya nizungumze nisikike na wengi na kauli yangu ichukuliwe maanani Sana,kwa udogo wangu naomba nizungumze haya kuhusu maandamano ya chadema, UPANDE WA SERIKALI na Askari naiona damu nyingi ya watu ikienda kumwagika,hapa hatutafuti mshindi lakini naomba kabisa BUSARA itumike ,waacheni CHADEMA waandamane watoe hisia zao,waache waseme lililoko mioyoni mwao,jamani sote kufiwa na jamaa zetu wa karibu tunajua joto lake na maumivu yake,Hawa jamaa CHADEMA,wamefiwa n wanachama wenzao wa karibu,ukiwa Tisha suala la kuwaua wako tayari, Sasa hatuwezi kwenda hivi naomba waacheni CHADEMA waandamane watoe hisia zao za mioyoni,kuliko kuwakabili kwa bunduki na risasi,damu hizo zikimwagika wakiwa katika harakati za kuomboleza,hakika tutakuwa tumepandikiza roho ya kisasi ndani ya udongo wa nchi yetu,na laana hii itatutafuna Sana,Kama nchi kumbuka Kuna matukio ya uchaguzi yanakuja,hakika kisasi Cha kutekana tutakuwa tumekimwagilia maji ya rutuba kipindi Cha uchaguzi na kampeni 2025 kitatawaliwa na umwagaji damu Sana ,hasa kutokana na damu itakayomwagika kesho,simwoni askari mwenye weredi wa kurudi nyuma na kuheshimu kutokumwagika kwa damu,lakini pia sioni CHADEMA wakirudi nyuma,hii ni hatari Sana,tutakuwa tumeandaa mazingira y violence uchaguzi ujao,wito:- WAACHENI CHADEMA WAANDAMANE
 
Mabadiliko huwa hayakwepeki. Mtabana lakini mtaachia tu. Na hiki wanachokifanya cdm ndio kitachangia kuleta mabadaliliko ya kweli.

Mwisho wa ccm kuendelea kutawala nchi hii kwa shuruti utakuwa wa umwagaji mkubwa wa damu, labda itokee watu wenye busara wawambie kuwa wakati ni ukuta, na ccm sio chama cha kizazi hiki.
Chadema ni matapeli Sana
 
Back
Top Bottom