Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mangi utajisaidia bure fanya shughuli zakoSamia must Go!
Samia must leave!
Samia must quit!
Or else she will be ousted.
Kila kitu kitategemea na waongozaji wa hayo maandamano ambao ni viongozi wa Chadema, kama wataamka wakiwa mahabusu au majumbani mwao.Jana niliweka uzi hapa nikionya watawala kuwa unyanyasaji ukizidi, unafanya watu wafike point of no return na wanakuwa tayari kwa lolote: kuuwawa, kuumiziwa, kufungwa jela, n.k).
Nilisema kadri watu wanavyouwawa, kuteswa, kupotezwa, n.k, wanaobaki wanajengea ujasiri na wanafikia hatua wanaona na wao hawana tena cha kupoteza na hiki ndio sasa kinakwenda kutumia. Tunakwenda kubaya.
Leo kupitia mtandao wa X, viongozi wakuu wa CHADEMA (Mbowe na Lissu) wameonyesha kuwa wako tayari kwa lolote hata kama ni kwa kupoteza uhai wao wataandamana(wamethibitisha maneno yangu)
Nilitamani sana maneno niliyoyasema mimi yangesemwa na watu wenye kuheshimika na wenye ushawishi katika jamiii, labda ujumbe ungewafikia watu wengi zaidi na ungepewa uzito.
Ni bahati mbaya watu wenye ushawishi wamechagua kukaa kimya, ila nawaambia mtawasikia wakitoa kauli baada ya mambo kuharibu.
Tunamshukuru Mzee Butiku kwa kusema aliyoyasema walau katimiza wajibu wake.
Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Nchimbi hakuwa serious katika hotuba yake ya hivi karibuni, hivyo sioni kama alikuwa na msaada wowote kws chama chake na Taifa kwa ujumla.
Uzi husika ni huu:
Unyanyasaji wa wapinzani wakati wa Magufuli na huu wa Rais Samia kunawafanya wapinzani kufikia "The point of no return"
Muendelezo wa unyanyasaji wa viongozi wa upinzani hasa kuanzia zama za Magufuli na sasa wakati huu wa Rais Samia, una impact moja: kuwafanya wapinzani kuwa jasiri huku msingi mkuu wa huo ujasiri ni kuona au kuamini kuwa kwa sasa hawana tena cha kupoteza kwani kama ni kuteswa, wameshateswa...www.jamiiforums.com
Niliyoyasema ndio haya yameanza kutimia:
Marufuku Iko pale pale 👇👇Jana niliweka uzi hapa nikionya watawala kuwa unyanyasaji ukizidi, unafanya watu wafike point of no return na wanakuwa tayari kwa lolote: kuuwawa, kuumiziwa, kufungwa jela, n.k).
Nilisema kadri watu wanavyouwawa, kuteswa, kupotezwa, n.k, wanaobaki wanajengea ujasiri na wanafikia hatua wanaona na wao hawana tena cha kupoteza na hiki ndio sasa kinakwenda kutumia. Tunakwenda kubaya.
Leo kupitia mtandao wa X, viongozi wakuu wa CHADEMA (Mbowe na Lissu) wameonyesha kuwa wako tayari kwa lolote hata kama ni kwa kupoteza uhai wao wataandamana(wamethibitisha maneno yangu)
Nilitamani sana maneno niliyoyasema mimi yangesemwa na watu wenye kuheshimika na wenye ushawishi katika jamiii, labda ujumbe ungewafikia watu wengi zaidi na ungepewa uzito.
Ni bahati mbaya watu wenye ushawishi wamechagua kukaa kimya, ila nawaambia mtawasikia wakitoa kauli baada ya mambo kuharibu.
Tunamshukuru Mzee Butiku kwa kusema aliyoyasema walau katimiza wajibu wake.
Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Nchimbi hakuwa serious katika hotuba yake ya hivi karibuni, hivyo sioni kama alikuwa na msaada wowote kws chama chake na Taifa kwa ujumla.
Uzi husika ni huu:
Unyanyasaji wa wapinzani wakati wa Magufuli na huu wa Rais Samia kunawafanya wapinzani kufikia "The point of no return"
Muendelezo wa unyanyasaji wa viongozi wa upinzani hasa kuanzia zama za Magufuli na sasa wakati huu wa Rais Samia, una impact moja: kuwafanya wapinzani kuwa jasiri huku msingi mkuu wa huo ujasiri ni kuona au kuamini kuwa kwa sasa hawana tena cha kupoteza kwani kama ni kuteswa, wameshateswa...www.jamiiforums.com
Niliyoyasema ndio haya yameanza kutimia:
Jana niliweka uzi hapa nikionya watawala kuwa unyanyasaji ukizidi, unafanya watu wafike point of no return na wanakuwa tayari kwa lolote: kuuwawa, kuumiziwa, kufungwa jela, n.k).
Nilisema kadri watu wanavyouwawa, kuteswa, kupotezwa, n.k, wanaobaki wanajengea ujasiri na wanafikia hatua wanaona na wao hawana tena cha kupoteza na hiki ndio sasa kinakwenda kutumia. Tunakwenda kubaya.
Leo kupitia mtandao wa X, viongozi wakuu wa CHADEMA (Mbowe na Lissu) wameonyesha kuwa wako tayari kwa lolote hata kama ni kwa kupoteza uhai wao wataandamana(wamethibitisha maneno yangu)
Nilitamani sana maneno niliyoyasema mimi yangesemwa na watu wenye kuheshimika na wenye ushawishi katika jamiii, labda ujumbe ungewafikia watu wengi zaidi na ungepewa uzito.
Ni bahati mbaya watu wenye ushawishi wamechagua kukaa kimya, ila nawaambia mtawasikia wakitoa kauli baada ya mambo kuharibu.
Tunamshukuru Mzee Butiku kwa kusema aliyoyasema walau katimiza wajibu wake.
Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Nchimbi hakuwa serious katika hotuba yake ya hivi karibuni, hivyo sioni kama alikuwa na msaada wowote kws chama chake na Taifa kwa ujumla.
Uzi husika ni huu:
Unyanyasaji wa wapinzani wakati wa Magufuli na huu wa Rais Samia kunawafanya wapinzani kufikia "The point of no return"
Muendelezo wa unyanyasaji wa viongozi wa upinzani hasa kuanzia zama za Magufuli na sasa wakati huu wa Rais Samia, una impact moja: kuwafanya wapinzani kuwa jasiri huku msingi mkuu wa huo ujasiri ni kuona au kuamini kuwa kwa sasa hawana tena cha kupoteza kwani kama ni kuteswa, wameshateswa...www.jamiiforums.com
Niliyoyasema ndio haya yameanza kutimia:
Kuna mwana nimeona anasema kwenye mtandao flan kuwa bora wamkamate akale ugali wa bure na ni graduateWatu wanaenda kuchagua Kati ya afadhari na angarau sio masiara
Kuna jamaa kasema kwahali ilivyo mtaani Bora apigwe risasi au akale Dona ya bule jera"
Nimeskitika sana
Watazaliwa wengine wenye roho ngumu kuliko hao. Ccm jifunzeni!Nendeni mkateguliwe viuno tuwaoe wake zenu
Wataua wangapi?Acha hizo bwashee 🐼
Tunawashangaa wapalestina kwa namna wana yopukutishwa.Scenario yao na CHADEMA ni moja.sasa gentleman,
ukipgwa risasi na ukaumizwa vibaya si utatibiwa tu na maisha ya wengine yatasonga japo watakao sumbuka ni familia husika...
Laa ukipigwa risasi na kupoteza maisha, walio hai hawatakuacha hivyo hivyo, watazika mwili na maisha mengine ya walio hai yataendelea kama kawaida tu, hakuna kitakacho simama..
hakuna haja kujipiga kifua kwenye vitu ambavyo vitakuathiri wewe mwenyewe na ndugu zako..
Katika masuala ya Afya ya akili, dalili za mwanzo kabisaa, ni pamoja muhusika mwenye husika kuwaza, kuamua na kutenda mambo ambayo yatamuathiri yeye mwenyewe 🐒
chukulia mfano wa mambo anayoyafanya kichaa yeyote unaemfaahumu? hivi yale anayoyafanya, yanamsaidia au yatamuathiri tu mwenyewe?🐒
umetoa mfano halisi mno gentleman 👊💪Sisi
Tunawashangaa wapalestina kwa namna wana yopukutishwa.Scenario yao na CHADEMA ni moja.
Wanazaliwa lini acha fikra hzo, wanapozaliwa we unakuwa ushasikinikaWatazaliwa wengine wenye roho ngumu kuliko hao. Ccm jifunzeni!
Mabadiliko huwa hayakwepeki. Mtabana lakini mtaachia tu. Na hiki wanachokifanya cdm ndio kitachangia kuleta mabadaliliko ya kweli.Wanazaliwa lini acha fikra hzo, wanapozaliwa we unakuwa ushasikinika
Chadema ni matapeli SanaMabadiliko huwa hayakwepeki. Mtabana lakini mtaachia tu. Na hiki wanachokifanya cdm ndio kitachangia kuleta mabadaliliko ya kweli.
Mwisho wa ccm kuendelea kutawala nchi hii kwa shuruti utakuwa wa umwagaji mkubwa wa damu, labda itokee watu wenye busara wawambie kuwa wakati ni ukuta, na ccm sio chama cha kizazi hiki.