Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kathibitisha kama kaibaBoss wa huyu dogo nae achunguzwe. Haiwezekani akae na mwizi asimstukie au yeye ndie anauemtuma dogo.
Hujapata upenyo tuKukwibaa sio tabia yanguu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wivu ni kazi! Uzi wa ngapi huu, mara tweet ili mradi!View attachment 2630959
UPDATE: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule ametembelea Mtaa wa Nia Njema Mei 23, 2023, baada ya kusoma post hii ya JF
DC aliambatana na Mhandisi wa Wilaya na maafisa wengine. Baada ya kukagua ujenzi wa gorofa hilo, wamebaini kuwa linajengwa bila kibali cha manispaa na chini ya kiwango, hivyo kuhatarisha maisha ya wananchi
DC ameagiza kiongozi wa serikali ya mtaa awekwe ndani kwa kushindwa kuchukua hatua
Pia DC amempa siku 1 afisa wa TRA anayemiliki jengo hilo aripoti ofisi yake
Wakazi wa Mtaa wa Nia Njema, Mbezi Juu, wanaishukuru JF kwa kusaidia malalamiko yao yamfikie DC na hatua kuchukuliwa kusitisha ujenzi wa gorofa hilo hatarishi
Afisa wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA), Boniventure Pascal Madia maarufu kama Boni amezua taharuki kubwa kwa wakazi wa Mbezi Juu kwa kujenga jengo la ghorofa 4 bila kibali cha Manispaa na bila kufuata viwango vya kitaalamu vya ujenzi na kutishia maisha ya wakazi hao kwa hofu ya jengo hilo kuanguka siku zijazo.
Wakazi wa Mbezi Juu/Goba bado wana kumbukumbu ya kuanguka kwa gorofa eneo la Goba kwa Awadhi mwaka 2021 na kuuwa watu wanne na sasa wanahofia maafa mengine kwenye Mtaa wa Nia Njema eneo la Mbezi Juu kwa Sanya.
Hofu ya wakazi wa eneo hilo ni kuwa afisa huyo wa TRA anajenga magorofa hayo chini ya viwango kwa kutumia nondo zenye milimita ndogo na mafundi wa mtaani bila kibali cha ujenzi cha manispaa.
Wakazi wa Mbezi Juu wanasema Boni alinunua nyumba ya chini iliyojengwa kwa msingi hafifu halafu akaigeuza kuwa jengo la gorofa 4 kwa kupandisha gorofa juu, huku akitumia mafundi wa mtaani, bila kibali cha ujenzi na bila kujenga msingi madhubuti unaoweza kujenga jengo la gorofa 4.
Hofu kubwa ya wakazi hao ni kuwa jengo hilo la gorofa linaloendelea kujengwa chini ya viwango huenda litadondoka siku zijazo na kuuwa watu kwenye eneo hilo.
Kila siku, wakazi hao wanapigwa na butwaa kuona afisa huyo wa TRA akiongeza gorofa kupanda juu kwenye jengo hilo, huku wakijua kuwa limejengwa kwenye msingi hafifu wa nyumba ya chini.
Viongozi wa serikali ya mtaa wa Mbezi Juu Kwa Sanya na Mtaa wa Nia Njema wameshindwa kuchukua hatua yoyote kuepusha maafa hayo na wanaachia gorofa hilo liendelee kujengwa bila kibali na chini ya viwango na kuhatarisha maisha ya wananchi.
Atupe maelezo kapata pesa wapi na atuonyeshe vibali.Nani kathibitisha kama kaiba
Ova
Wivu ni kazi! Uzi wa ngapi huu, mara tweet ili mradi!
Kuna ghorofa lingine lina nyufa na limeongezewa ghorofa nyingine pamoja na kuwa mwenyewe aliambiwa asijenge ghorofa nyingine, jengo hilo lipo Sinza kumekucha mawasiliano rd kama unaelekea kituo cha mabasi cha Mawasiliano unapotoka kituo cha daldala cha Mugabe Sinza,jengo linatizamana na hotel ya City Styles, jengo hilo limepigiwa kelele kwa muda mrefu na hakuna hatua zilizochukuliwa.View attachment 2630959
UPDATE: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule ametembelea Mtaa wa Nia Njema Mei 23, 2023, baada ya kusoma post hii ya JF
DC aliambatana na Mhandisi wa Wilaya na maafisa wengine. Baada ya kukagua ujenzi wa gorofa hilo, wamebaini kuwa linajengwa bila kibali cha manispaa na chini ya kiwango, hivyo kuhatarisha maisha ya wananchi
DC ameagiza kiongozi wa serikali ya mtaa awekwe ndani kwa kushindwa kuchukua hatua
Pia DC amempa siku 1 afisa wa TRA anayemiliki jengo hilo aripoti ofisi yake
Wakazi wa Mtaa wa Nia Njema, Mbezi Juu, wanaishukuru JF kwa kusaidia malalamiko yao yamfikie DC na hatua kuchukuliwa kusitisha ujenzi wa gorofa hilo hatarishi
Afisa wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA), Boniventure Pascal Madia maarufu kama Boni amezua taharuki kubwa kwa wakazi wa Mbezi Juu kwa kujenga jengo la ghorofa 4 bila kibali cha Manispaa na bila kufuata viwango vya kitaalamu vya ujenzi na kutishia maisha ya wakazi hao kwa hofu ya jengo hilo kuanguka siku zijazo.
Wakazi wa Mbezi Juu/Goba bado wana kumbukumbu ya kuanguka kwa gorofa eneo la Goba kwa Awadhi mwaka 2021 na kuuwa watu wanne na sasa wanahofia maafa mengine kwenye Mtaa wa Nia Njema eneo la Mbezi Juu kwa Sanya.
Hofu ya wakazi wa eneo hilo ni kuwa afisa huyo wa TRA anajenga magorofa hayo chini ya viwango kwa kutumia nondo zenye milimita ndogo na mafundi wa mtaani bila kibali cha ujenzi cha manispaa.
Wakazi wa Mbezi Juu wanasema Boni alinunua nyumba ya chini iliyojengwa kwa msingi hafifu halafu akaigeuza kuwa jengo la gorofa 4 kwa kupandisha gorofa juu, huku akitumia mafundi wa mtaani, bila kibali cha ujenzi na bila kujenga msingi madhubuti unaoweza kujenga jengo la gorofa 4.
Hofu kubwa ya wakazi hao ni kuwa jengo hilo la gorofa linaloendelea kujengwa chini ya viwango huenda litadondoka siku zijazo na kuuwa watu kwenye eneo hilo.
Kila siku, wakazi hao wanapigwa na butwaa kuona afisa huyo wa TRA akiongeza gorofa kupanda juu kwenye jengo hilo, huku wakijua kuwa limejengwa kwenye msingi hafifu wa nyumba ya chini.
Viongozi wa serikali ya mtaa wa Mbezi Juu Kwa Sanya na Mtaa wa Nia Njema wameshindwa kuchukua hatua yoyote kuepusha maafa hayo na wanaachia gorofa hilo liendelee kujengwa bila kibali na chini ya viwango na kuhatarisha maisha ya wananchi.
Hiyo ni hela ya sokoni Kariakoo mkuuAtupe maelezo kapata pesa wapi na atuonyeshe vibali.
Ajiandae kua mgeni wa serikali. Kula na kulala bure.Hiyo ni hela ya sokoni Kariakoo mkuu
Kuna jamaa yangu yuko TRA hakuna kitu anachoogopa kama kujenga gorofa. Anakuambia hilo halielezeke pesa umetoa wapi.Labda ana investment zake mbali na mshahara[emoji23][emoji23] au ndo kama kawaida kila mmoja ale KWA urefu wake mkuu
Juzi nasikia TRA walipita Goba wakawakamua wenye viduka vyao. Alafu nasikia walikuwa na nyodo kishenziSasa huyu ndio aje kuchukua kodi utajua hujui na anaujenzi huo..
Anakufilisi kabisa huyu.
TRA wanapiga sana *****TRA Kutamu kwa kweli...
Kuna nafasi zimetoka omba ukapige naww waambie ndugu na jamaa wanasema raha ya ngoma uingie ucheze.TRA wanapiga sana *****
Mie sio mwizii, sio tabia yangu.Hujapata upenyo tu
Ova
Sipendi pesa chafu mimi..Kuna nafasi zimetoka omba ukapige naww waambie ndugu na jamaa wanasema raha ya ngoma uingie ucheze.