cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kukwibaa sio tabia yanguu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ache wakwibe tu kama wana kwiba
Na wee ukipata line kwibaaaa
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukwibaa sio tabia yanguu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ache wakwibe tu kama wana kwiba
Na wee ukipata line kwibaaaa
Ova
Tenaa mnooo yaaanWizi wizi wizi
Ndio maana kila mtu anataka kazi Tra sasa
Sasa kila mtanzania atataka akafanye kazi Tra,wanaweka pesa mpk kwenye makabati ya nguo nyumbani
Wengi wao watumishi wa Tra wanachezea sana pesa na wanawake
Dear kuna biashara nilifungua, jamani mchaka mchaka wa leseni, mapato, kodi, kitambulisho cha mfanya biashara.Dear nipinge ni haki yako!
Wewe kakunyonya nini? naamini hata wewe ukija kukaa
sehemu yenye upenyo wa kupiga hela utapiga!!!
Wabongo wengi tuna mind set ya kuchukia / kutowapenda watu walionacho au waliopo sehemu flan!
Hujui kipato cha mtu, hujui anatafuta hela kivipi why uone unanyonywa jamani watu hawategemei mishahara tu!!
Pia aeleze anafanya biashara gani ukizingatia ni mtumishi wa umma, tuna haki ya kujuaView attachment 2630959
UPDATE: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule ametembelea Mtaa wa Nia Njema Mei 23, 2023, baada ya kusoma post hii ya JF
DC aliambatana na Mhandisi wa Wilaya na maafisa wengine. Baada ya kukagua ujenzi wa gorofa hilo, wamebaini kuwa linajengwa bila kibali cha manispaa na chini ya kiwango, hivyo kuhatarisha maisha ya wananchi
DC ameagiza kiongozi wa serikali ya mtaa awekwe ndani kwa kushindwa kuchukua hatua
Pia DC amempa siku 1 afisa wa TRA anayemiliki jengo hilo aripoti ofisi yake
Wakazi wa Mtaa wa Nia Njema, Mbezi Juu, wanaishukuru JF kwa kusaidia malalamiko yao yamfikie DC na hatua kuchukuliwa kusitisha ujenzi wa gorofa hilo hatarishi
Afisa wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA), Boniventure Pascal Madia maarufu kama Boni amezua taharuki kubwa kwa wakazi wa Mbezi Juu kwa kujenga jengo la ghorofa 4 bila kibali cha Manispaa na bila kufuata viwango vya kitaalamu vya ujenzi na kutishia maisha ya wakazi hao kwa hofu ya jengo hilo kuanguka siku zijazo.
Wakazi wa Mbezi Juu/Goba bado wana kumbukumbu ya kuanguka kwa gorofa eneo la Goba kwa Awadhi mwaka 2021 na kuuwa watu wanne na sasa wanahofia maafa mengine kwenye Mtaa wa Nia Njema eneo la Mbezi Juu kwa Sanya.
Hofu ya wakazi wa eneo hilo ni kuwa afisa huyo wa TRA anajenga magorofa hayo chini ya viwango kwa kutumia nondo zenye milimita ndogo na mafundi wa mtaani bila kibali cha ujenzi cha manispaa.
Wakazi wa Mbezi Juu wanasema Boni alinunua nyumba ya chini iliyojengwa kwa msingi hafifu halafu akaigeuza kuwa jengo la gorofa 4 kwa kupandisha gorofa juu, huku akitumia mafundi wa mtaani, bila kibali cha ujenzi na bila kujenga msingi madhubuti unaoweza kujenga jengo la gorofa 4.
Hofu kubwa ya wakazi hao ni kuwa jengo hilo la gorofa linaloendelea kujengwa chini ya viwango huenda litadondoka siku zijazo na kuuwa watu kwenye eneo hilo.
Kila siku, wakazi hao wanapigwa na butwaa kuona afisa huyo wa TRA akiongeza gorofa kupanda juu kwenye jengo hilo, huku wakijua kuwa limejengwa kwenye msingi hafifu wa nyumba ya chini.
Viongozi wa serikali ya mtaa wa Mbezi Juu Kwa Sanya na Mtaa wa Nia Njema wameshindwa kuchukua hatua yoyote kuepusha maafa hayo na wanaachia gorofa hilo liendelee kujengwa bila kibali na chini ya viwango na kuhatarisha maisha ya wananchi.
Labda kakopa, mfano Kama salary slip yake inasoma 3, milioni tsh,ana uwezo wa kuchukua 180 NBC au crdb akajenga kwa hatuaAfisa wa TRA mwenye uwezo wa kujenga ghorofa 4 mshahara wake ni tsh ngapi ?.Au ndio wale wa kubambika kodi kubwa kubwa halafu baada ya kushindwa kulipa mnakaa kitako mnazungumza.
Kodi zinatakiwa kueleweka vizuri mfano kodi za magari ukinunua gari aina fulani ya mwaa fulani kodi yake ipo wazi.Ukileta kontena 40ft kodi yake mazungumzo.
Hawa akina Bon tutawazalisha kweli kweli kama tunavyowazalisha matrafic wala rushwa kwa kushindwa kuweka mifumo mizuri barabarani.
acha ukuda mkuu akuelezee mali zake amezipataje kisa mtumishi wa umma. Akawaelezee Takukuru huko inatosha.Pia aeleze anafanya biashara gani ukizingatia ni mtumishi wa umma, tuna haki ya kujua
umejuaje hana kibali?View attachment 2630959
UPDATE: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule ametembelea Mtaa wa Nia Njema Mei 23, 2023, baada ya kusoma post hii ya JF
DC aliambatana na Mhandisi wa Wilaya na maafisa wengine. Baada ya kukagua ujenzi wa gorofa hilo, wamebaini kuwa linajengwa bila kibali cha manispaa na chini ya kiwango, hivyo kuhatarisha maisha ya wananchi
DC ameagiza kiongozi wa serikali ya mtaa awekwe ndani kwa kushindwa kuchukua hatua
Pia DC amempa siku 1 afisa wa TRA anayemiliki jengo hilo aripoti ofisi yake
Wakazi wa Mtaa wa Nia Njema, Mbezi Juu, wanaishukuru JF kwa kusaidia malalamiko yao yamfikie DC na hatua kuchukuliwa kusitisha ujenzi wa gorofa hilo hatarishi
Afisa wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA), Boniventure Pascal Madia maarufu kama Boni amezua taharuki kubwa kwa wakazi wa Mbezi Juu kwa kujenga jengo la ghorofa 4 bila kibali cha Manispaa na bila kufuata viwango vya kitaalamu vya ujenzi na kutishia maisha ya wakazi hao kwa hofu ya jengo hilo kuanguka siku zijazo.
Wakazi wa Mbezi Juu/Goba bado wana kumbukumbu ya kuanguka kwa gorofa eneo la Goba kwa Awadhi mwaka 2021 na kuuwa watu wanne na sasa wanahofia maafa mengine kwenye Mtaa wa Nia Njema eneo la Mbezi Juu kwa Sanya.
Hofu ya wakazi wa eneo hilo ni kuwa afisa huyo wa TRA anajenga magorofa hayo chini ya viwango kwa kutumia nondo zenye milimita ndogo na mafundi wa mtaani bila kibali cha ujenzi cha manispaa.
Wakazi wa Mbezi Juu wanasema Boni alinunua nyumba ya chini iliyojengwa kwa msingi hafifu halafu akaigeuza kuwa jengo la gorofa 4 kwa kupandisha gorofa juu, huku akitumia mafundi wa mtaani, bila kibali cha ujenzi na bila kujenga msingi madhubuti unaoweza kujenga jengo la gorofa 4.
Hofu kubwa ya wakazi hao ni kuwa jengo hilo la gorofa linaloendelea kujengwa chini ya viwango huenda litadondoka siku zijazo na kuuwa watu kwenye eneo hilo.
Kila siku, wakazi hao wanapigwa na butwaa kuona afisa huyo wa TRA akiongeza gorofa kupanda juu kwenye jengo hilo, huku wakijua kuwa limejengwa kwenye msingi hafifu wa nyumba ya chini.
Viongozi wa serikali ya mtaa wa Mbezi Juu Kwa Sanya na Mtaa wa Nia Njema wameshindwa kuchukua hatua yoyote kuepusha maafa hayo na wanaachia gorofa hilo liendelee kujengwa bila kibali na chini ya viwango na kuhatarisha maisha ya wananchi.
Ndicho nilichomaanisha, takukuru si tumewatuma sisi au?acha ukuda mkuu akuelezee mali zake amezipataje kisa mtumishi wa umma. Akawaelezee Takukuru huko inatosha.
Sawa, ila usijitoe akili, kule wanabambikia watu kodi ili mkae pembeni mfanye mazungumzo, wanaumiza sana watu. wamchunguze tu, kwani kuna ubaya gani?Too much f**k with people,kuwa TRA hapa ndio tatizo na wengi wakimwona mtu Yuko TRA na anafanya maendeleo basi Hela kazitoa humo Tena kwa wizi,Kuna watu wamefanya kazi makampuni binafsi huko anagali mayanki kabisa wakajipanga wakawekeza haafu sasa mwishowe wakaamua kutafuta heshima ya kufanya kazi sehemu nzuri au shirika la kiserikali lenye JINA.
Kuna watu wa sampuli hii.sio kila anayepiga hatua akiwa TRA basi Hela kazipatia humo.
But Kwa upande mwingine huko hakuna mishahara mikubwa.ipo chini sana,issue ni vitengo ,Kwa maana ya Fringe benefits,sio wizi.kuna watu huko wana TGS ambayo haifiki 1M ila mtu huyo unakuta Halali nyumbani mara Tano Kwa mwezi ni safari tu,hizo perdiem unafikiri atakua mwenzako?
Rizika na unachokipata ,haimanishi pia ukipata utaweza Fanya kama yeye.suala la maendeleo sio ukubwa wa kipato.Anza na ulicho nacho na Fanya busara kwenye uwekezaji na kuwa na nidhamu ya matumizi.Sio kila aliefanikiwa ni mwizi au mpigaji.
Sijawahi kuona TRA officer asiye na sura ya 'toa chochote Kitu' tangu nizaliwe na mikoa yote niliyoishi na hawa ndio wanatuweka kwenye list ya nchi zenye wapenda rushwa.Too much f**k with people,kuwa TRA hapa ndio tatizo na wengi wakimwona mtu Yuko TRA na anafanya maendeleo basi Hela kazitoa humo Tena kwa wizi,Kuna watu wamefanya kazi makampuni binafsi huko anagali mayanki kabisa wakajipanga wakawekeza haafu sasa mwishowe wakaamua kutafuta heshima ya kufanya kazi sehemu nzuri au shirika la kiserikali lenye JINA.
Kuna watu wa sampuli hii.sio kila anayepiga hatua akiwa TRA basi Hela kazipatia humo.
But Kwa upande mwingine huko hakuna mishahara mikubwa.ipo chini sana,issue ni vitengo ,Kwa maana ya Fringe benefits,sio wizi.kuna watu huko wana TGS ambayo haifiki 1M ila mtu huyo unakuta Halali nyumbani mara Tano Kwa mwezi ni safari tu,hizo perdiem unafikiri atakua mwenzako?
Rizika na unachokipata ,haimanishi pia ukipata utaweza Fanya kama yeye.suala la maendeleo sio ukubwa wa kipato.Anza na ulicho nacho na Fanya busara kwenye uwekezaji na kuwa na nidhamu ya matumizi.Sio kila aliefanikiwa ni mwizi au mpigaji.
Kataa hiyo mentality ndugu yangu,Kuna watu waadilifu sana,na Wana mfanikio makubwa tu.Sijawahi kuona TRA officer asiye na sura ya 'toa chochote Kitu' tangu nizaliwe na mikoa yote niliyoishi na hawa ndio wanatuweka kwenye list ya nchi zenye wapenda rushwa.
Ukibambikiwa Kodi nenda kashtaki,ukikubali kubambikiwa basi ni unyonge.kuna watu wanashindwa kufanya biashara Kwa sababu ya makadirio ya Kodi.Tatizo jingine watanzania hatupendi uwazi,unapewa grace period ,halafu ikifika muda wa kuonesha return ya biashara unambwela mbwela.Tatizo kubwa Lina anzia hapo.Ni ngumu kubambikiziwa Kodi,ukilipa kama inavyotakiwa huwezi kuja kutwa na deni la mamilioni,ukikwepa wakikufuma ndio lawama za kubambikiziwaSawa, ila usijitoe akili, kule wanabambikia watu kodi ili mkae pembeni mfanye mazungumzo, wanaumiza sana watu. wamchunguze tu, kwani kuna ubaya gani?
Hii ndio ya msingi,tuishi humo.Dua la kuku. Sema nyumba ichunguzwe isije kugharim raia.
Jaribu wewe uone, yule aliyebambikiwa bilioni 30 kodi uliona kilichomtokea? Angekubali kuwapa rushwa wangemyondolea hiyo kodi, ila kwakuwa kajifanya kichwa ngumu, wakamfungulia na kesi ya uhujumu uchumi. Acha kabisa, keshaenda kote hadi kwa waziri mkuu, lakini wapi. Hawa watu hawana utuUkibambikiwa Kodi nenda kashtaki,ukikubali kubambikiwa basi ni unyonge.kuna watu wanashindwa kufanya biashara Kwa sababu ya makadirio ya Kodi.Tatizo jingine watanzania hatupendi uwazi,unapewa grace period ,halafu ikifika muda wa kuonesha return ya biashara unambwela mbwela.Tatizo kubwa Lina anzia hapo.Ni ngumu kubambikiziwa Kodi,ukilipa kama inavyotakiwa huwezi kuja kutwa na deni la mamilioni,ukikwepa wakikufuma ndio lawama za kubambikiziwa
Labda niseme Kwa biashara zetu Kodi ni nyingi na zinaumiza,Kuna muda uaweza kuona kabisa Hela nyingi ni Kodi na faida ni kidogo Sana,unaacha kulipa Kodi,mwishowe unalimbikiza ukija kupewa invoice unashangaa,na huu ndio uhalisia Kwa wengi.
Ukiwa mzito wa kulipa Kodi,jaribu kuangalia biashara zisizo na utitiri wa Kodi na hutokumbana na kadhia ya Kodi za kubambikiziwa.
La mwisho,sio kila mtumishi wa TRA anahusika na Kodi.Ni mamlaka ya mapato,Ina vitengo vingi sana.Sio kila mtumishi w TRA anayefanikiwa mtaani basi yupo kwenye kitengo cha Kodi.Tuachane na hizi habari za kuwa brainwashed.
Aibu yakoWivu tu unakusumbua.
Ukiona ghorofa imesimama hadi hapo jua ana kibali tayari vinginevyo ungeshakuta Alama nyekundu.
Kun kitu inaitwa big fish,big fish wakizinguana dagaa unatakiwa kukaa pembeni,ukiona wenye ukwasi wanakwaruana ujue Kuna michongo wameshazulimiana.Ndio mana wengi wanaishia kukimbilia kwenye siasa.masuala ya madai ya Kodi hasa za kufikishana mahakamani Kwa kesi za uhujumu yako deeply rooted.Sio maswala ya kawaida,ufahamu kabisa hata kauli mbiu ya TRA ni "Voluntary tax compliance" ukiona issue imefikia forceful compliance ujue Kuna shida.Jaribu wewe uone, yule aliyebambikiwa bilioni 30 kodi uliona kilichomtokea? Angekubali kuwapa rushwa wangemyondolea hiyo kodi, ila kwakuwa kajifanya kichwa ngumu, wakamfungulia na kesi ya uhujumu uchumi. Acha kabisa, keshaenda kote hadi kwa waziri mkuu, lakini wapi. Hawa watu hawana utu
Kodi Bilioni 30 kwa kontena 10 za vitenge ni kubambikiana kodi. Na ukikataa kukaa na pembeni kujadiliana nao iki uwape rushwa utajuta, muulize mama Bonge akwambie.Kun kitu inaitwa big fish,big fish wakizinguana dagaa unatakiwa kukaa pembeni,ukiona wenye ukwasi wanakwaruana ujue Kuna michongo wameshazulimiana.Ndio mana wengi wanaishia kukimbilia kwenye siasa.masuala ya madai ya Kodi hasa za kufikishana mahakamani Kwa kesi za uhujumu yako deeply rooted.Sio maswala ya kawaida,ufahamu kabisa hata kauli mbiu ya TRA ni "Voluntary tax compliance" ukiona issue imefikia forceful compliance ujue Kuna shida.
wanaenda na sera ya voluntary ili kuvutia wawekezaji na kutengengeneza mazingira rafiki ya biashara Kwa sababu mtu asipotaka lipa Kodi anaua biashara anaangalia mishe isio na Kodi umiza kichwa ni hasara Kwa serikali.
Haya mambo ya kufikishana mahakamani ni michongo tu iliobuma watu waaamua kukomoana au kufilisiana.