DOKEZO TAHADHARI: Afisa TRA ahatarisha maisha ya wakazi Mbezi Juu Kwa Sanya kwa kujenga ghorofa 4 bila kibali, kwenye msingi dhaifu wa nyumba ya chini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wivu ni kazi! Uzi wa ngapi huu, mara tweet ili mradi!
 
Kuna ghorofa lingine lina nyufa na limeongezewa ghorofa nyingine pamoja na kuwa mwenyewe aliambiwa asijenge ghorofa nyingine, jengo hilo lipo Sinza kumekucha mawasiliano rd kama unaelekea kituo cha mabasi cha Mawasiliano unapotoka kituo cha daldala cha Mugabe Sinza,jengo linatizamana na hotel ya City Styles, jengo hilo limepigiwa kelele kwa muda mrefu na hakuna hatua zilizochukuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…