spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Blaza boni
Umesagiwa kunguni kweri kweri hiiiih
Umesagiwa kunguni kweri kweri hiiiih
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kubishana na mtu usiyejua maisha nje ya tanzaniaPeleka pua ndo utajua ugumu au wepesi wake, maneno ya kulialia hayabadili chochote.
Tajiri gani anataka mtoto wake akakeshe zamu za usiku hospitali badala ya kulala nyumbani na mkewe?Huyo jamaa sijui anabwabwaja nini, udaktari haukimbiliwi hakuna kilaza anapeleka pua kule hata awe mtoto wa tajiri namna gani.
Sheria ya kuzuia na kupambana na Rushwa, imesema Kuwa kumiliki Mali zisizo na maelezo ni kosa mpaka utakapoweza kutoa maelezo ya Mali,Kwanza TAKUKURU/Sekretariati ya Maadili waanze na huyu wamfanyie Lifestyle audit. Kulinganisha kipato chake na uwekezaji anaoufanya.
Huyu atakuwa kwenye kutengo ambacho anakamua rushwa sana kutoka kwa wafanyabiashara
Sidhani,mbona wanajijengea tu mtaaniWivu tu unakusumbua.
Ukiona ghorofa imesimama hadi hapo jua ana kibali tayari vinginevyo ungeshakuta Alama nyekundu.
Nani kakwambia Kila mtu anategemea ofisi,wengi Wana mishe njee ya ofisi.Ofisi ni security tu na kuombea mikopoHivi hawa jamaa wana pesa sana ee!!?
Udaktari unakimbiliwa na vilaza mbona wengi tu,Huyo jamaa sijui anabwabwaja nini, udaktari haukimbiliwi hakuna kilaza anapeleka pua kule hata awe mtoto wa tajiri namna gani.
Kulinda bank hakukuzuii kufanyaa ujasiliamali mwingine nje ya ajira.Ulishawahi kuona mtoto wa bilionea anaajiriwa hovyo hovyo ?.
Ukiuliza huyo Bon anafanya biashara gani na analipa kodi iasi gani utabaki kushangaa na kusikitika.
Leo hii hakuna trafic asiyekuwa na usafiri wa uhakika,nyumba nzuri kwasababu ya rushwa za barabarani,jiulize kwanini askari anyelinda bank hana hata baskeli !.
Nchi yetu inahitaji viongozi watakao kuwa tayari kupambana na mifumo ya rushwa.
Amekwambia kajenga kwa mshahara,vipi Kama ana vyanzo vingine vya pesa kutokana na yeye au familia yake.Afisa wa TRA mwenye uwezo wa kujenga ghorofa 4 mshahara wake ni tsh ngapi ?.Au ndio wale wa kubambika kodi kubwa kubwa halafu baada ya kushindwa kulipa mnakaa kitako mnazungumza.
Kodi zinatakiwa kueleweka vizuri mfano kodi za magari ukinunua gari aina fulani ya mwaa fulani kodi yake ipo wazi.Ukileta kontena 40ft kodi yake mazungumzo.
Hawa akina Bon tutawazalisha kweli kweli kama tunavyowazalisha matrafic wala rushwa kwa kushindwa kuweka mifumo mizuri barabarani.
Wengi tu wanaajiriwa. Ni jubudi zako tu. Kama ulijichanganya ukaajiriwa Kaliua DC shauri yakoMawazo ya kipimbi haya! Wahasibu wangapi wameajiriwa TRA?
Sawa basi TAKUKURU watusaidie hapaSheria ya kuzuia na kupambana na Rushwa, imesema Kuwa kumiliki Mali zisizo na maelezo ni kosa mpaka utakapoweza kutoa maelezo ya Mali,
-huyo Ofisa wa Tra sheria ya maadili ya viongozi wa Umma haimuhusu inahusu Wale wakubwa wakubwa serikalini.
[emoji23][emoji23][emoji23] Kama mtoa mada anaroho mbaya sana.Kuna watu wana roho mbaya kuliko roho mbaya yenyewe
Upo seriazi kweli? Mwenzako anaongea kitu sensitive unaleta mipasho ya Kwa Mtogole na Manzese? Likitokea la kutokea utarudi tena humu au utasepa?Wivu tu unakusumbua.
Ukiona ghorofa imesimama hadi hapo jua ana kibali tayari vinginevyo ungeshakuta Alama nyekundu.
Wana Saccoss zao. Makazini siku hizi sehemu nyingi kuna saccoss zenye mitaji mikubwa tu ukiamua unakopa.TRA wanatoa mkopo kwa wafanyakazi? Kuanzia lini?
Pia mkopo wa bank wa kujenga jengo kama hilo kwa mshahara wao haiwezekani. Labda tusema ana biashara kubwa inayomuingizia faida