atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Mkongwe wa kwenye hizi mambo[emoji2]Huyu mjinga, unaanzaje kujenga hilo jumba afisa wa TRA???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkongwe wa kwenye hizi mambo[emoji2]Huyu mjinga, unaanzaje kujenga hilo jumba afisa wa TRA???
Mimi nipo kwenye hii kada ya ujenzi, kwahiyo nitakachokujibu naomba uniamini. Ukijenga jengo refu kama hilo bila kibali, kinachotakiwa kufanyika ni kulivunja kwanza, halafu ndio uanze kutoa hayo maelezo ya michoro nk.
Au laaa, utoe rushwa ya kueleweka, yaani rushwa kubwa. Maana watu wanaweza kufa hapo.
Nimemaliza na sitaki maswali.
Unajua kuna kitu kinaitwa 'uhuru wa mawazo/fikra'.Hakuna Cha unafiki,mbona mnalalamikia Ufisadi then fisadi unamtetea tena ,Huwa mnalalamikia nini Sasa?
unaweza kukuta hii post ni ya fundi mwenyewe. anyway Boni kazingua. Komesha rushwaView attachment 2630959View attachment 2630960
Afisa wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA), Boniventure Pascal Madia (pichani), maarufu kama Boni amezua taharuki kubwa kwa wakazi wa Mbezi Juu kwa kujenga jengo la ghorofa 4 bila kibali cha Manispaa na bila kufuata viwango vya kitaalamu vya ujenzi na kutishia maisha ya wakazi hao kwa hofu ya jengo hilo kuanguka siku zijazo.
Wakazi wa Mbezi Juu/Goba bado wana kumbukumbu ya kuanguka kwa gorofa eneo la Goba kwa Awadhi mwaka 2021 na kuuwa watu wanne na sasa wanahofia maafa mengine kwenye Mtaa wa Nia Njema eneo la Mbezi Juu kwa Sanya.
Hofu ya wakazi wa eneo hilo ni kuwa afisa huyo wa TRA anajenga magorofa hayo chini ya viwango kwa kutumia nondo zenye milimita ndogo na mafundi wa mtaani bila kibali cha ujenzi cha manispaa.
Wakazi wa Mbezi Juu wanasema Boni alinunua nyumba ya chini iliyojengwa kwa msingi hafifu halafu akaigeuza kuwa jengo la gorofa 4 kwa kupandisha gorofa juu, huku akitumia mafundi wa mtaani, bila kibali cha ujenzi na bila kujenga msingi madhubuti unaoweza kujenga jengo la gorofa 4.
Hofu kubwa ya wakazi hao ni kuwa jengo hilo la gorofa linaloendelea kujengwa chini ya viwango huenda litadondoka siku zijazo na kuuwa watu kwenye eneo hilo.
Kila siku, wakazi hao wanapigwa na butwaa kuona afisa huyo wa TRA akiongeza gorofa kupanda juu kwenye jengo hilo, huku wakijua kuwa limejengwa kwenye msingi hafifu wa nyumba ya chini.
Viongozi wa serikali ya mtaa wa Mbezi Juu Kwa Sanya na Mtaa wa Nia Njema wameshindwa kuchukua hatua yoyote kuepusha maafa hayo na wanaachia gorofa hilo liendelee kujengwa bila kibali na chini ya viwango na kuhatarisha maisha ya wananchi.
Hiyo ni akili mgando kutegemea mshahara na fursa zipo kibao!Afisa wa TRA ana mshahara shingapi?
Binadamu huwa tuna unafiki wa kuona jambo ovu ikiwa analifanya mwingine tukifanya wenyewe tunatafuta kila jina zuri kuhalalisha uovu yetu.Unajua kuna kitu kinaitwa 'uhuru wa mawazo/fikra'.
Usiforce kila mtu awe na mtazamo sawa na wako.
Ungepata wewe fursa usingejenga? Acha kuhubiri pepo ikiwa mwenyewe huna hakika ya matendo yako.
Hawana fursa hizo ni rushwa wanazochukua kwa wafanyabiashara tunawajua hawaHiyo ni akili mgando kutegemea mshahara na fursa zipo kibao!
Ukute mmoja wa hao moderators ndio kaandika huu uzi baada ya kuona wivu jirani yake kujenga gorofa halafu unatarajia uzi ufutwe.Moderstor futeni huu uzi
1. Hakuna udhibitisho kama jengo liko chini ya kiwango
2. Hakuna udhibitisho kama mmiliki halali ni yeye.
Jamiifroum isiwe chaka la kuaribiana CV za watu yaani hii kama na chuki na mtu ni sawa na kuchukua picha yake na jengo linalosemekana lake than nichonganishe hii sio haki kabisa, heshimuni maisha ya watu na kazi zawatu. kama mtu unauhakika na hili kwann usipeleke sehemu husika wadeal nae. Ukipaste hilo jina kwenye Google utaiona hiyo picha iko linkedin sio sawa imechukuliwa ikapastiwa hapa.
Hawa washenzi watumishi wa Tra ukiwakuta wanavojidai wana pesa,siku hizi hela wakichukua hawapeleki benki wanaweka nyumbani kwenye makabati ya nguo.Hawa washenzi ndio wanabambikia watu kodi za bilioni 30 kwenye kontena za vitenge mbwa hawa.., aeleze pesa katoa wapi mbwa huyo!
Kelele mnazopigaga kuhusu Ufisadi Huwa mnamaanisha nini ikiwa Mafisadi mnawaona ni wajanja na mashujaa?Unajua kuna kitu kinaitwa 'uhuru wa mawazo/fikra'.
Usiforce kila mtu awe na mtazamo sawa na wako.
Ungepata wewe fursa usingejenga? Acha kuhubiri pepo ikiwa mwenyewe huna hakika ya matendo yako.
Sio wivu hawa jamaa wanakula rushwa haswa,hukuona wafanyabiashara walivokua wanalia juziWivu tu unakusumbua.
Ukiona ghorofa imesimama hadi hapo jua ana kibali tayari vinginevyo ungeshakuta Alama nyekundu.
Siyo kuyajua, nimeyaishi au ulifikiri wewe ndo mwenye hati miliki ya kujua maisha ya nje......utoto unakusumbua.Siwezi kubishana na mtu usiyejua maisha nje ya tanzania
Kilaza utakatiza wapi kwenye medicine, labda hivyo vyuo mlivyoanzisha huko vichochoroniUdaktari unakimbiliwa na vilaza mbona wengi tu,
Kuna watu kibao wamesoma PCB wakapiga division one Chuo wakaenda Kusoma B.Com, Tax Nk na ndio hao Wengi wao wako TRA
Watumishi wa Tra wanakula kodi zetu alafu wanatuona wengine wajingaKelele mnazopigaga kuhusu Ufisadi Huwa mnamaanisha nini ikiwa Mafisadi mnawaona ni wajanja na mashujaa?