Ngoja nikiseme nami nilichogundua katika thread hii, kwanza kabisa sitaki kumpa pole kwa ili jambo.
Amesema bi dada huyu mtu walitafutana kwa ajili ya kuuziana maziwa kwa siku mbili mfululuzo hivi alikuwa akimlipa bila shida note hiyo siku ambayo anaenda kukopwa hakuwa amefika kwa huyi mteja kwa maana alikuwa hapajui akaelekezwa akaenda kwa mara ya kwanza note dot halafu hapohapo huyu bi dada akiwa ana mjibu
Tarakilishi anasema " Nimewah kufika kwake mara 1 na hata sipakumbuki tena,'' hii kitu inawezekana kweli????
Kuna sehemu anatushangaa sisi tunaoona aliwezaje kumkopesha a stranger person pesa nyingi hivo kwa siku tatu tu za biashara zao tangu kuanza?? unga dot kama anaona yeye ni pesa ndogo kilichomleta hapa analilalia ni nini?? jiulize
Anadai alimtolea uvivu kwa kumpigia akiwa na marafiki zake jambo ambalo tapeli aliona kama ni matusi akampeleka polisi kwa binti huyu kudhalilisha utu wa tapeli na binti kuhaha na kutafuta wanasheria wanne kwa kesi hiyo note dot alitakiwa kufika polisi kuitikia wito wa polisi lakini kwa vile hakuwepo jijini aliahidi kufika akirudi je alifanya hivo?? kama alifanya hivyo ilikuwaje na kama hakwenda kwanini?? wakati mdai wake anamtafuta muda mrefu kama anavyodai?? unga dot
kwani hajatii sheria bila shuruti kuitikia wito wa polisi au wanasheria wako wanne ndo walikushauri kugomea wito?
nafasi ya kumtia mikoni mbay wako bado unazingua?
Binti anaona hiyo ni pesa ndogo kumsaidia mtu kama ni ndogo why unalialia hapa umetapeliwa? kama una moyo wa kusaidia kuna mtu kasema una ndugu ambae tunajua wanahitaji msaada wako why usiwasaidie hao hiyo pesa??
Kilichopo nyuma ya hii sinema ninachohisi
--- huyu dada atakuwa kamlia huyu tapeli vyake vingi sasa tapelu nae kampatia nafasi ya kumliza dada anaumua
--- mahusiano ya kimapenzi yapo baina yao dada anaogopa kutaja id ya tapeli kwa kuogopa uchafu wake kuwekwa wazi na tapeli
---Dada ni mdhaifu wa kudhibiti hisia zake za kimwili kingono anajikuta badala ya kufanya biashara ya maziwa anafanya biashara zote mbili
---Dada ni mwanafunzi wa chuo itakuwa kumbuka alipomtolea uvivu tapeli ati akiwa na marafiki zake
---kuna mengi sana katika tamthilia hii ukichunguza na kusoma comment zake na maswali ya wadau
Hakuna haja ya kuficha id na namba ya tapeli, humu ndani uenda kuna watu walishafanya nae biashara hivyo wana namba yake na wanafahamu anapokaa wakakusaidia kumshika tapeli maana wewe si umesema umesahau ulipochinjiwa kibudu
Siku nyingine usihadaike na mtu kutaja mil10 moyo ukakulipuka kwa kudhani ukimpa mwili wako utazipata hizo pesa
samahani kama nitakuwa nimekukwaza
apologize lady
Si tu kwamba unautashi mkubwa, bali unafahamu maisha, binadamu namna ya kuishi na watu, kumsaidia mtu sio kosa, "watu wanaona kumuazima mtu hela ni ajabu, sijui ni ugumu wa maisha au kutoizea pesa"
Nimewah kufika kwake mara 1 na hata sipakumbuki tena, hii dunia na Mungu yupo atahamua kwa haki.