Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,632
...huyu manzi analeta mbogamboga tu hapa!...eti anajidai 120000 si pesa mingi wakati anaungaunga buku buku za maziwa toka Makongo hadi Kimara!
...kweli ujinga kipaji!
...kweli ujinga kipaji!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si tu kwamba unautashi mkubwa, bali unafahamu maisha, binadamu namna ya kuishi na watu, kumsaidia mtu sio kosa, "watu wanaona kumuazima mtu hela ni ajabu, sijui ni ugumu wa maisha au kutoizea pesa"Kama una roho ya huruma na ubinadamu na kuwaamini wengine ni rahisi sana kufanya kosa kama hilo la kiufundi hasa ukizingatia ushawahi kufika hadi kwake. Wengi tumefanya makosa kama hayo kwa namna tofauti lkn haitufanyi tuvunjike moyo wa kuwasaidia wengine bila kujali ni matapeli au laa! Kwa imani ni kwamba hutakula haki ya mtu bila kulipa! He will surely pay the price of his actions before his funeral and after.
Nikupe moyo tu kuwa hujapoteza kitu, bali lillilokutokea ni moja ya kumbukumbu katika safari yako ya mafanikio., kutapeliwa na huyo mmoja kusikufanye kuwa na moyo mgumu wa kusaidia wengine bali kuwe ni chachu ya ww kuwa makini zaidi kesho.Si tu kwamba unautashi mkubwa, bali unafahamu maisha, binadamu namna ya kuishi na watu, kumsaidia mtu sio kosa, "watu wanaona kumuazima mtu hela ni ajabu, sijui ni ugumu wa maisha au kutoizea pesa"
Nimewah kufika kwake mara 1 na hata sipakumbuki tena, hii dunia na Mungu yupo atahamua kwa haki.
Nimeshindwa.Fanyia kazi ukishindwa niambie nitakwambia. ila uwe umejaribu hata kidogo
Pasi kuficha mim nilishasamehe kabisa nilichukulia uenda mtu kakwama, maana ni karibu miez 5, Nilipogundua ni tapeli kama matapeli wengine nikamwambia nitakurusha kwenye mitandao watu wakujue ndio akakimbilia polisi kuwa nimemtukana, sasa sijui hao polisi wanaokumbatia matapeli wanaashiria nin.Nikupe moyo tu kuwa hujapoteza kitu, bali lillilokutokea ni moja ya kumbukumbu katika safari yako ya mafanikio., kutapeliwa na huyo mmoja kusikufanye kuwa na moyo mgumu wa kusaidia wengine bali kuwe ni chachu ya ww kuwa makini zaidi kesho. Neno la imani ninalokupa leo ni kuwa umsamehe bure!. Mm nishapoteza milioni 2.3 kwakumuamini mtu ambaye kipndi cha nyuma nilikuwa namsimamia kikazi, na pia alikuwa ni surbodonate ambaye nilimuamini sana hata nikamfanya kuwa rafiki yangu. Pamoja na yote nilimsamehe kabisa na hata nikimkuta na shida nipo tayari kumsaidia na hata nikionana naye nitacheka naye bila kinyongo. Thats life
Si tu kwamba unautashi mkubwa, bali unafahamu maisha, binadamu namna ya kuishi na watu, kumsaidia mtu sio kosa, "watu wanaona kumuazima mtu hela ni ajabu, sijui ni ugumu wa maisha au kutoizea pesa"
Nimewah kufika kwake mara 1 na hata sipakumbuki tena, hii dunia na Mungu yupo atahamua kwa haki.
ahahah! kuku kala wali jioni kaliwa na waliMim siweki ID ila mtamjua kwa sura kupitia huko polisi alikojipeleka, jambo dogo sana kumjua.
Utatusaidiaje Wote Humu Kumjua Kwa Sura?? Besides Pole, Ni Kma Roho Yako Ya Utu Imekuponza!!Hata nikikwambia ni nani haitasaidia kwakua akiona huu uzi lazima atabadili ID. Jambo kubwa kumjua kwa sura sio hzi fake ID
Mtu mwenyewe ukimuona hata huwezi kumzania, mazungumzo yake ni dili za mil 10 kuendelea, unaweza sema AC yake ina fedha za escrow kumbe shwain mkubwa, anatapeli watu kuishi mjini.
MkuuMtu mwenyewe ukimuona hata huwezi kumzania, mazungumzo yake ni dili za mil 10 kuendelea, unaweza sema AC yake ina fedha za escrow kumbe shwain mkubwa, anatapeli watu kuishi mjini.
Hebu mtaje kwa id yake ili wengine tujihadhari nae!
Juzi nilisema tunaishi na majambazi humu ndani
denying to expose the I'd of the purported crook make me smell rat in this thread
who is a crook ? me, you or ?
jf members be ware of threads of the like
Nimekumbuka uzi wa somebody MCHUMI... aliwasilisha mada kama hii akidai katapeliwa na akamtaja mtuhumiwa lakini mtuhumiwa alipojitokeza ikaonekana mlalamikaji ndo tapeli na walikuwa wamefikia mpaka hatua ya kupanga waonane ili wagegedane.
So hapa napo yawezekana kabisa panamuelekeo huo huo ndo maana hataki tuusikie upande wa pili.
Hivi mtu akutapeli 120K halafu ugome kutaja hata id achilia mbali kuweka namba ya mhusika? Kweli?
Na kama 120k siyo kitu then kulikuwa na ulazima gani kutuletea huku mambo ya Pm? Si ungevunga kama umeidondosha tu but since last year umemkomalia maanake ni kubwa kwako.
Kiuhalisia naona jamaa hajakutapeli bali kaenda kinyume na makubaliano yenu.
Mkuu wewe mtaje tu ikibidi na namba uweke,mbona kitomai alipoanikwa alipotea mazima na IDs zake zote zikabainika na zile mpya alizofungua zilikuwa zinabainika kirahisi tu.
Pasi kumtaja jamaa moja kwa moja hii siyo tahadhali bali ume-share nasi experience yako katika kutumia JF.
NI MTAZAMO TU.