TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

Sijui kwa nini watanganyika hupenda kuamini watu mtandaoni
 
Ila chief katika ule uzi nilisema toa namba ili tuone nakuunganishaje na jamaa ambaye yeye hayo ndiyo maisha yake ukawa unasema unataka kwanza maelezo ndiyo utoe namba.

Hata baada ya kukuambia maelezo yatakuja kwenye namba ukagoma. Na kuna siku ukasema umeghairi kwakua umeona watu hawapo serious.

Kusema kweli mimi huu uzi nauamini kwa asilimia 30. Mpaka utakapoleta ushahidi wote ndipo zitaongezeka.
 
Kunao uwezekano ww nitapeli, possibly upo hapa hapa bongo bt unatafuta hizo fines na ela za usumbufu kwa kushirikiana na wenzio kuanzia dhl mpk huko police kuhakikisha unapata chochote cha usumbufu.

Inshort dogo ameingia ktk mikono ya tapeli makini, japo kunao uwezekano dogo sitapeli ila alihtaj ela yakuanzia maisha.
 
Jf ndio mtandao unaongoza kwa matapeli na wababaishaji binafsi ni nilishawahi tapeliwa humu kipindi najiunga nilikuwa naona Kila member humu ni ana hela

Mwezi uliopita kuna
Bidhaa nilikuwa naitafuta humu akajitokeza jamaa anasema anayo kuja kunitajia Bei nikakuta anauza Bei ya chini sana nikashtuka
 
Huko alipo lock up naamuru aliwe jicho ili asirudie ungese wake pindi atakaporudi uraiani.
Tumechoka kuishi na watu wajinga kama hao.
 
Sama
Nilikuwa nimeemuulz uyo aliyesema alitaka kutapeliwa kule kwenye jukwaa la ajira na tenda,I think nimekosea kutag sorry!!!
Mkuu ni maelezo marefu ila nishayaanda,vipi niweke kama uzi au hapa hapa katika comments?
 
Kuna kuna jamaa alitapeliwa namba ya wakala wa 1xbet akamtumia tapeli 30000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…