Tahadhari kwa Iran: Usijibu Mtego wa Israel

Naona unalilia haki za ndg zako wa Rainbow.
 
Wamarekani na Nato wote hao ni wacheza movie tuu. Wao mi Mastermind wa psychology tuu kuwaogopesha watu na uwongo uwongo wao.
 


Hata kiduku wa Korea walisema pia maneno hayo
 
Sina hakika kama kwa sasa Iran itaweza kujibu kama mifumo ya kurusha makombora ya masafa marefu imeharibiwa.
Kama itafanikiwa kurusha makombora hayo na haina ulinzi wa anga yake basi vituo vya kinuklea na viwanda vya mafuta vitakuwa kwenye risk ya kuharibiwa kabisa.
Kitu ambacho kitaua uchumi wa Iran kabisa.
Na uchumi ukifa basi huenda raia wakaingia barabara kuungasha Utawala wa Iran.
Russia haiwezi kuisaidia Iran kwa sababu ya vita vyake na Ukraine.
 
Hakuna cha mtego Wala mama yake na mtego ni uoga wenu tu maana mnajua majibu yatakuaje
 
Naona unalilia haki za ndg zako wa Rainbow.
Ufaransa ndio inchi inayoongoza kuwa na mashoga wengi kama sijakosea ........ndiko huyo ayatollah alikokwenda kukaa maana alijua akiwashwa wale komasava watasugua ndevu mpaka bunyelo.......harafu eti aliporudi Iran akajifanya takbiiir nyingi huku Linda hana ..........na ndiko kobaz mmejazana kuliko inchi yeyote ya ulaya mkiendeleza kupakuliwa na wazungu.........hamuwapendi wamagharibi kwanini msikimbilie Iraq,Libya, Iran,Morocco, sudan,somalia,Yemen nyie kira siku mnakimbilia London,USA, france ,Canada, Belgium, Germany, Austria, Australia,..........naq mkifika mnataka mje na tamaduni zenu wakati mmekuta tamaduni zao kule......bakini na uchoko wenu kwenye hiyo mitakbiiir yenu .....
 
Kushinda vita ni nn, marekani amekaa Afghanistan miaka mingapi siku anaondoka si unaona kilichotokea
 
Ilikuwa ni vigumu kwa Israel kuingia katika vita kubwa ya moja kwa moja na Iran kwa sababu kubwa 2
1. Iran kwa muda mrefu amekuwa akiwajengea uwezo wa kivita vikundi vya Hamas &Hezbuloir kwa kuwapa mafunzo na silaha kali akiamini watasimama kama first line of defense na kuendeleza mapigano madogo madogo na Israel ili kum-keep busy wakati wao wakipambana kutengeneza bomu la nuclear. Hivyo ilikuwa nguvu kwa Israel kuanzisha vita ya mbali wakati ana adui hapohapo nyumbani.
2. Kwa muda mrefu Iran amekuwa akiwekeza katika kuimarisha air defense systems zake na kutengeneza makombora ya masafa marefu ambayo yamekuwa changamoto kubwa kwa air defense systems za Israel.
So nini mkakati wa Israel:
1. Kumalizana na Hamas na Hezbola na kuhakikisha hawana uwezo tena wa kuleta madhara kwa Israel kwa muda mrefu ujao. Na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana katika hilli.
2. Kuharibu air defense systems na viwanda vya kuchakata mafuta magumu yanayotumika katika makombora ya masafa marefu. Itawachukua Iran sio chini ya miaka 2 kujenga uwezo huu.
Nini kitakachofuata;
1. Haijalishi kama Iran itajibu mashambulizi or not,lazima Israel itaishambulia Iran ili kuteketeza mitambo yake ya nuclear. Israel inaamini kuwa iwapo Iran itapata uwezo wa kutengeneza bomu la nuclear basi wao ndio wahanga namba 1 na hawako tayari kuona hilo linatokea.
2. Israel itamchokoza Iran kwa namna yoyote ili areact na ndio (unfortunately)itakuwa mwisho wa utawala wa ayatolah. Hili litafanyika kabla raisi mpya wa marekani hajaapishwa mwakani.
 
Iran anadogosha shambulio ila kapigwa vibaya,unamsifu irani ila huoni aibu, yaani adui anaingia kwenye ardhi yako anakupiga na anaondoka tena katumia marubani wa kike kwa dharau bado unakaa hapa unamsifu(ikumbukww sio mara ya kwanza Israel anaingia na kutoka Iran kama kwake juzi tu hapa ametoka kuua kiongozi wa magaidi kwenye ardhi ya irani),Netanyahu alisema hakuna mahali Israel hawawezi kufika huko Iran na kweli katimiza lengo lake bila upinzani ,hiyo rasharasha tu bado shughuli yenyewe.
 
Wazayuni wa jf mnaandika kama mmekatwa vichwa
 
Wewe mzayuni tokea wapi
 
anajibuje wakati air defence system zake zimesambaratishwa? sasaivi kalala mlango wazi. myahudi atakuja na ndege pale na kuondoka bila wao kujua kama kaja. usicheze na stealth.
Hizo stealth zilishageuzwa majivu zikiwa parking na muajemi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…