Tahadhari kwa Iran: Usijibu Mtego wa Israel

Tahadhari kwa Iran: Usijibu Mtego wa Israel

Rais wa Iran sio Ayatolah. Ni mpya kachaguliwa tu mwaka huu baada ya yule aliyeitwa Ebrahim Rais kufariki kwenye ajali. Ayatolah ni supreme leader na nasikia ni mgonjwa.
 
Iranian Supreme Leader Ali Khamenei, aged 85, is reportedly seriously ill.

His second oldest son, Mojtaba Khamenei, likely to succeed him when he dies.

(New York Times)
 
Naungana na mtoa mada, Iran isijibu chochote ukizingatia kiongozi wao pia ni mgonjwa sana, Iran inatafutwa kwa muda mrefu sana, ili kupunguzwa nguvu za kivita na kiteknolojia ya nyuklia, wazungu hawawamini kabisa waarabu kwa akili zao kama wanaweza ku secure hizi teknolojia kwa amani na usalama wa kidunia, hivyo akijibu tu, njia itakuwa imepatikana ya kuharibu mifumo yote ya kimkakati, just imagine kiwanda cha misile kilchopigwa itagharimu 2-3yrs kukirudisha katika hali yake! View attachment 3136230
Iran sio mwarabu ni mwahemi. Waarabu hawamuungi mkono!
 
Ahsante sana mchambuzi wa siasa za mashariki ya kati kutoka hapo Tel Aviv, kwanza kabisa poleni na vita huko.

Ipo hivi, USA hata mwaka 2003 aliivamia Iraq akiwa na washirika wake pamoja ushirikiano wa nchi nyingine zaidi ya 40, just imagine hadi Rwanda ilienda, hadi Angola.

Kwa kuanza tu, US aliingia akiwa na wenzake Poland, UK, Australia.

Nchi nyingi hivi sasa zina uelewa wa kutosha kuhusu ujanja wa USA, waliingia Iraq kwa kile walisema wana silaha za maangamizi, wakakuta hamna kitu.

Usifikiri huo ushawishi USA anao tena hii miaka.

USA pekee haitoshi kuivamia Iran kijeshi, Iran inaweza kushambulia nchi yeyote mashariki ya kati kwa missiles zao zenye shabaha ya hali ya juu.
Hakuna nchi Ulaya ipo tayari kuivamia Iran, uongo wa USA na ujanja wake wengi wameufahamu, ndio maana hivi sasa unaona nchi nyingi zinataka kujiunga BRICS kama mpinzani wa umoja na ushawishi wa nchi za kimagharibi zikiongozwa na USA.

Iran kwa kurusha zile missiles 200, ilikuwa ni kutangaza vita tayari, kama USA alikuwa anatamani kuivamia Iran ilikuwa ni kesho yake, Israel imeshabuliwa mara mbili tunashuhudia, lakini wachambuzi kutoka Kibondo mnavyokuza mambo hajambo.

Israel inaogopa kuingia kwenye vita ya moja kwa moja na Iran, ingekuwa inajiamini na inataka vita, ingepiga kwa nguvu kama inavyofanya Gaza na Syria.

Iran sio Libya mzee.
Kupiga kwa nguvu ni kama aje? Mtu kapiga vituo vya kijeshi, kaharibu miundombinu ya ulinzi, maghala ya silaha na kuua wanajeshi kadhaa bado unaona ni shambulio dogo!? Binafsi naona washirika wa Iran nao ni walewale tu hofu na uoga mwingi.
 
Iran anadogosha shambulio ila kapigwa vibaya,unamsifu irani ila huoni aibu, yaani adui anaingia kwenye ardhi yako anakupiga na anaondoka tena katumia marubani wa kike kwa dharau bado unakaa hapa unamsifu(ikumbukww sio mara ya kwanza Israel anaingia na kutoka Iran kama kwake juzi tu hapa ametoka kuua kiongozi wa magaidi kwenye ardhi ya irani),Netanyahu alisema hakuna mahali Israel hawawezi kufika huko Iran na kweli katimiza lengo lake bila upinzani ,hiyo rasharasha tu bado shughuli yenyewe.
Big point
 
Wewe mzayuni tokea wapi
Tokea tandahimba,story hii imenikumbusha hadithi ya sauli na Daudi ilikuwa Daudi akikimbizwa na sauli,wakafika mahali sauli akalala Daudi akaenda kukata vazi lake lakini hakumdhuru,yakawa matukio yakujirudia mara tatu ya namna hii,ndipo Daudi akamwambia Sauli nilikuwa ninauwezo wa kukudhuru ila sijaamua,hata hili la Iran inabidi achutame amevuliwa nguo mchana kweupe, yeye alirusha makombora akiwa km 2000 away mwenzake amekwenda mpaka chumbani kwake amefanya anayotaka na ameondoka muda anaotaka,aibu aibu!
 
Ufaransa ndio inchi inayoongoza kuwa na mashoga wengi kama sijakosea ........ndiko huyo ayatollah alikokwenda kukaa maana alijua akiwashwa wale komasava watasugua ndevu mpaka bunyelo.......harafu eti aliporudi Iran akajifanya takbiiir nyingi huku Linda hana ..........na ndiko kobaz mmejazana kuliko inchi yeyote ya ulaya mkiendeleza kupakuliwa na wazungu.........hamuwapendi wamagharibi kwanini msikimbilie Iraq,Libya, Iran,Morocco, sudan,somalia,Yemen nyie kira siku mnakimbilia London,USA, france ,Canada, Belgium, Germany, Austria, Australia,..........naq mkifika mnataka mje na tamaduni zenu wakati mmekuta tamaduni zao kule......bakini na uchoko wenu kwenye hiyo mitakbiiir yenu .....
Unaongea kwa mateso sana ewe mzayuni wa jf
 
Ilikuwa ni vigumu kwa Israel kuingia katika vita kubwa ya moja kwa moja na Iran kwa sababu kubwa 2
1. Iran kwa muda mrefu amekuwa akiwajengea uwezo wa kivita vikundi vya Hamas &Hezbuloir kwa kuwapa mafunzo na silaha kali akiamini watasimama kama first line of defense na kuendeleza mapigano madogo madogo na Israel ili kum-keep busy wakati wao wakipambana kutengeneza bomu la nuclear. Hivyo ilikuwa nguvu kwa Israel kuanzisha vita ya mbali wakati ana adui hapohapo nyumbani.
2. Kwa muda mrefu Iran amekuwa akiwekeza katika kuimarisha air defense systems zake na kutengeneza makombora ya masafa marefu ambayo yamekuwa changamoto kubwa kwa air defense systems za Israel.
So nini mkakati wa Israel:
1. Kumalizana na Hamas na Hezbola na kuhakikisha hawana uwezo tena wa kuleta madhara kwa Israel kwa muda mrefu ujao. Na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana katika hilli.
2. Kuharibu air defense systems na viwanda vya kuchakata mafuta magumu yanayotumika katika makombora ya masafa marefu. Itawachukua Iran sio chini ya miaka 2 kujenga uwezo huu.
Nini kitakachofuata;
1. Haijalishi kama Iran itajibu mashambulizi or not,lazima Israel itaishambulia Iran ili kuteketeza mitambo yake ya nuclear. Israel inaamini kuwa iwapo Iran itapata uwezo wa kutengeneza bomu la nuclear basi wao ndio wahanga namba 1 na hawako tayari kuona hilo linatokea.
2. Israel itamchokoza Iran kwa namna yoyote ili areact na ndio (unfortunately)itakuwa mwisho wa utawala wa ayatolah. Hili litafanyika kabla raisi mpya wa marekani hajaapishwa mwakani.
Ushachambua hapa
 
Tokea tandahimba,story hii imenikumbusha hadithi ya sauli na Daudi ilikuwa Daudi akikimbizwa na sauli,wakafika mahali sauli akalala Daudi akaenda kukata vazi lake lakini hakumdhuru,yakawa matukio yakujirudia mara tatu ya namna hii,ndipo Daudi akamwambia Sauli nilikuwa ninauwezo wa kukudhuru ila sijaamua,hata hili la Iran inabidi achutame amevuliwa nguo mchana kweupe, yeye alirusha makombora akiwa km 2000 away mwenzake amekwenda mpaka chumbani kwake amefanya anayotaka na ameondoka muda anaotaka,aibu aibu!
Israhell waache kumtafutia sababu Iran washapata wamfyeke tuuu
 
Umemaliza kila kitu, mkuu. Mengine yote ni porojo tu. Suala zima la Israeli vs Palestina na Israeli vs Iran ni sawa kabisa na suala la Ukraine vs Urusi.

Umoja wa BRICS ni tishio mno kwa ustawi wa Marekani. Shirikisho la BRICS likifana, NATO inaangukia pua mchana kweupe.
BRICS kuikaribia NATO kwa kiwango cha kutoa ushindani, siyo karne hii. BRICS yote kwa ujumla, uchumi wake ni mdogo kuliko wa Marekani pekee. Vita ni uwezo wa kiuchumi.
 
Iwe Kwa Makusudi/Bahati Mbaya Kamwe Sitauingia Huu Mtego
by Professor Paramagamba Aidan Mwaluko Kabudi A.k.a Jalalani
 
Ahsante sana mchambuzi wa siasa za mashariki ya kati kutoka hapo Tel Aviv, kwanza kabisa poleni na vita huko.

Ipo hivi, USA hata mwaka 2003 aliivamia Iraq akiwa na washirika wake pamoja ushirikiano wa nchi nyingine zaidi ya 40, just imagine hadi Rwanda ilienda, hadi Angola.

Kwa kuanza tu, US aliingia akiwa na wenzake Poland, UK, Australia.

Nchi nyingi hivi sasa zina uelewa wa kutosha kuhusu ujanja wa USA, waliingia Iraq kwa kile walisema wana silaha za maangamizi, wakakuta hamna kitu.

Usifikiri huo ushawishi USA anao tena hii miaka.

USA pekee haitoshi kuivamia Iran kijeshi, Iran inaweza kushambulia nchi yeyote mashariki ya kati kwa missiles zao zenye shabaha ya hali ya juu.
Hakuna nchi Ulaya ipo tayari kuivamia Iran, uongo wa USA na ujanja wake wengi wameufahamu, ndio maana hivi sasa unaona nchi nyingi zinataka kujiunga BRICS kama mpinzani wa umoja na ushawishi wa nchi za kimagharibi zikiongozwa na USA.

Iran kwa kurusha zile missiles 200, ilikuwa ni kutangaza vita tayari, kama USA alikuwa anatamani kuivamia Iran ilikuwa ni kesho yake, Israel imeshabuliwa mara mbili tunashuhudia, lakini wachambuzi kutoka Kibondo mnavyokuza mambo hajambo.

Israel inaogopa kuingia kwenye vita ya moja kwa moja na Iran, ingekuwa inajiamini na inataka vita, ingepiga kwa nguvu kama inavyofanya Gaza na Syria.

Iran sio Libya mzee.
Ushawishi wa USA upo Kwa nchi tegemezi kama Tanzania kwanza msaada wao TU ni ZAIDI ya tirion 20 ......kwetu bongo afu waje waombe wanajeshi muwanyime😂😂.,.,.,. money buy everything......
 
Hizo stealth zilishageuzwa majivu zikiwa parking na muajemi
kwa hiyo stealth yenye thamani ya mabilioni ya dola, ihifadhiwe kizembe namna hiyo? jiulize, kama hapakuwa na madhara iran angelalamika?
 
kwa hiyo stealth yenye thamani ya mabilioni ya dola, ihifadhiwe kizembe namna hiyo? jiulize, kama hapakuwa na madhara iran angelalamika?
Makombora ya Iran yalitua kila mahara ndani ya Israel labda kama walizificha Mars
 
Back
Top Bottom