Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
kwa hiyo ziliteketea zote, sasa zile zimeenda kufanya shambulizi majuzi iran zilikuwa ni zipi? mbona mnapenda kujidanganya?Makombora ya Iran yalitua kila mahara ndani ya Israel labda kama walizificha Mars
kwakweli shingo yako imebea mzigoKama kuna mtu yupo karibu na Rais wa Iran, Ayatollah, amfikishie ujumbe huu: Asithubutu kujibu mashambulizi ya Israel β huu ni mtego wa hatari!
1οΈβ£ Mpango wa Kimkakati wa Israel
imeanza na mkakati wa kuwadhoofisha washirika wake wa karibu, makundi ambayo yamekuwa tishio kubwa kwake. Baada ya kuyapunguza nguvu, sasa macho yake yameelekezwa kwa βbabaβ wa makundi haya β Iran.
2οΈβ£ Hali hii si ya bahati mbaya. Israel haipigi bila hesabu. Wanajua wanachofanya na wanasubiri tu kosa dogo kutoka Iran. Kosa hilo linaweza kuwa jaribio la Iran kulipiza kisasi.
3οΈβ£ USA Ipo Tayari Kuingilia
Israel haitapigana vita hii peke yake. Marekani ipo nyuma yake ikisubiri wakati muafaka wa kuingilia vita moja kwa moja. Mashambulizi yoyote ya Iran kwa Israel yatatoa sababu kamili kwa Marekani kushambulia kwa nguvu zote. Vita hiyo haitakuwa tena kati ya Israel na Iran, bali Iran dhidi ya Marekani na washirika wake.
4οΈβ£ Intelijensia Imara ya Israel
Israel inazo taarifa za kina kuhusu miundombinu ya kijeshi na operesheni za Iran. Wanatafuta tu sababu ya kuanzisha mashambulizi makubwa zaidi. Kujaribu kurudisha mashambulizi kunaweza kuwa sawa na kuwasha moto mkubwa zaidi kwa Iran.
USHAURI: Iran inapaswa kuwa na subira sana kuepuka mtego huu. Siasa na diplomasia kwa sasa ni silaha muhimu zaidi kuliko vita ya wazi. Kujibu kwa pupa kutawapa israel na USA nafasi waliyoisubiria.
"Katika vita ya akili, nguvu huangukia kwa yule anayejua kucheza kwa busara."
Zimekodishwakwa hiyo ziliteketea zote, sasa zile zimeenda kufanya shambulizi majuzi iran zilikuwa ni zipi? mbona mnapenda kujidanganya?
zimekodiwa wapi ili wewe na bongolala yako mkakodi pia.Zimekodishwa
USAzimekodiwa wapi ili wewe na bongolala yako mkakodi pia.
walikodi kwa shilingi ngapi? ndugu gaidi.
Kama kuna mtu yupo karibu na Rais wa Iran, Ayatollah, amfikishie ujumbe huu: Asithubutu kujibu mashambulizi ya Israel β huu ni mtego wa hatari!