Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Central ni wapi huko?Bora wakalale hata central
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Central ni wapi huko?Bora wakalale hata central
Hapana wakilala kwenye ofisi ya chama polisi watawakamata wote na kusema wamekuwa wakipanga njama za kihalifu ma ofisini kwapo sishauri hili swala la mawakala kila mtu alale anakojua yeye, barua awe nazo katibu na msaidizi wake na ma baunsa watazisambaza kwa mawakala asubuhi wawe wamekutwa vituoni nje si vinginevyo kila wakala asilale na barua barua hizo zilale kwa asiye julikana kwa kila wilayaHii ni kengere ya kuwaamsha na kuwakumbusha tu,
Mnakumbuka yaliyojitokeza kwa watinia Nia udiwani na ubunge ilivyokuwa kazi kurudisha fomu, watu walitangiziwa njiani na kupolwa fomu. Hiyo ilokuwa ni trela tu, msipojiandaa pia tarehe 27/10/2020 kutakuwa na vituko mpaka mtashangaa, hivyo nawashauri, baada ya kufanikiwa kuapishwa, ofsi ya vyama vyenu, kwa gharama ya chama, mnapaswa kulala kwenye ofsi zenu na ulinzi wa uhakika, baadae asubuhi muandae gari litakalowasambaza kuanzia alfajiri asubuhi, itazuia kunyang'anywa hati za utambulisho wa uwakala. Maana kazi ya tume kwenye kituo itakuwa ni kupokea wakala halali Wala siyo kuuliza Nani hajafika
Mkipuuza, msiludi kutulalamikia
#kapigekura28/10/2020
Hizo mbinu kapeaneni kwenye chama chenu. Ukishaitangaza hapa hiyo siyo mbinu tena, zitaandaliwa njia zingine za ushindi.Hii ni kengere ya kuwaamsha na kuwakumbusha tu,
Mnakumbuka yaliyojitokeza kwa watinia Nia udiwani na ubunge ilivyokuwa kazi kurudisha fomu, watu walitangiziwa njiani na kupolwa fomu. Hiyo ilokuwa ni trela tu, msipojiandaa pia tarehe 27/10/2020 kutakuwa na vituko mpaka mtashangaa, hivyo nawashauri, baada ya kufanikiwa kuapishwa, ofsi ya vyama vyenu, kwa gharama ya chama, mnapaswa kulala kwenye ofsi zenu na ulinzi wa uhakika, baadae asubuhi muandae gari litakalowasambaza kuanzia alfajiri asubuhi, itazuia kunyang'anywa hati za utambulisho wa uwakala. Maana kazi ya tume kwenye kituo itakuwa ni kupokea wakala halali Wala siyo kuuliza Nani hajafika
Mkipuuza, msiludi kutulalamikia
#kapigekura28/10/2020
Hawaoni hata aibu,kwani ni Aina Ile ya wazalendo maslahi.Hivi CCM na NEC wanajisikiaje watu wanapokosa imani na wao
Hivi NEC ikiharibu uchaguzi wakati wa kupiga kura na kutoa matokeo.. nini kifanyike ili kudai haki?
Tafuteni sababu zote lakini kipigo cha kushindwa kiko palepale.Tayari mmeanza kukata pumzi na boss wenu ndiyo kabisa ni dembedembe.Nimemsikiliza jana hapa Tabora anatia huruma mwanzo mwisho wa mkutano hamna sera yeye ni kuongelea wizi wa kura.Badala ya kueleza Tabora watawafanyia nini yeye anaongelea wizi wa kura.By the way big 7days is around the corner, siku saba ni za kupimana ubavu wa uimara wa vyama.
Bashiru kasema kwamba upinzani wa mwaka huu ni dhaifu sana kuliko miaka yote ya vyama vingi hapa Tanzania. Mnajifanya kubeza statement hiyo.Sasa ndiyo mnakwenda kuamini kwamba guys you are totally disorganised in wholesale. Poleni ilani ya ccm imependwa sana na wananchi na officially inaanza kutekelezwa rasmi 6/11/2020
Uchaguzi huu mawakala hawaendi na barua za utambulisho.Hii ni kengere ya kuwaamsha na kuwakumbusha tu,
Mnakumbuka yaliyojitokeza kwa watinia Nia udiwani na ubunge ilivyokuwa kazi kurudisha fomu, watu walitangiziwa njiani na kupolwa fomu. Hiyo ilokuwa ni trela tu, msipojiandaa pia tarehe 27/10/2020 kutakuwa na vituko mpaka mtashangaa, hivyo nawashauri, baada ya kufanikiwa kuapishwa, ofsi ya vyama vyenu, kwa gharama ya chama, mnapaswa kulala kwenye ofsi zenu na ulinzi wa uhakika, baadae asubuhi muandae gari litakalowasambaza kuanzia alfajiri asubuhi, itazuia kunyang'anywa hati za utambulisho wa uwakala. Maana kazi ya tume kwenye kituo itakuwa ni kupokea wakala halali Wala siyo kuuliza Nani hajafika
Mkipuuza, msiludi kutulalamikia
#kapigekura28/10/2020
Umenikumbusha wale wanaovaa nguo za mapolisi nakufanya ugaidi tena nyumbani kwa mgombea ubungeHii ni kengere ya kuwaamsha na kuwakumbusha tu,
Mnakumbuka yaliyojitokeza kwa watinia Nia udiwani na ubunge ilivyokuwa kazi kurudisha fomu, watu walitangiziwa njiani na kupolwa fomu. Hiyo ilokuwa ni trela tu, msipojiandaa pia tarehe 27/10/2020 kutakuwa na vituko mpaka mtashangaa, hivyo nawashauri, baada ya kufanikiwa kuapishwa, ofsi ya vyama vyenu, kwa gharama ya chama, mnapaswa kulala kwenye ofsi zenu na ulinzi wa uhakika, baadae asubuhi muandae gari litakalowasambaza kuanzia alfajiri asubuhi, itazuia kunyang'anywa hati za utambulisho wa uwakala. Maana kazi ya tume kwenye kituo itakuwa ni kupokea wakala halali Wala siyo kuuliza Nani hajafika
Mkipuuza, msiludi kutulalamikia
#kapigekura28/10/2020
Wazo zuri kabisa, pia nashauri wakiapishwa wasilale na hizo fomu wakabidhi viongozi wao zilindweHii ni kengere ya kuwaamsha na kuwakumbusha tu,
Mnakumbuka yaliyojitokeza kwa watinia Nia udiwani na ubunge ilivyokuwa kazi kurudisha fomu, watu walitangiziwa njiani na kupolwa fomu. Hiyo ilokuwa ni trela tu, msipojiandaa pia tarehe 27/10/2020 kutakuwa na vituko mpaka mtashangaa, hivyo nawashauri, baada ya kufanikiwa kuapishwa, ofsi ya vyama vyenu, kwa gharama ya chama, mnapaswa kulala kwenye ofsi zenu na ulinzi wa uhakika, baadae asubuhi muandae gari litakalowasambaza kuanzia alfajiri asubuhi, itazuia kunyang'anywa hati za utambulisho wa uwakala. Maana kazi ya tume kwenye kituo itakuwa ni kupokea wakala halali Wala siyo kuuliza Nani hajafika
Mkipuuza, msiludi kutulalamikia
#kapigekura28/10/2020
Hili wazo mwafska zaidi.Watoe copy ndo atembee nayo original aletewe na afisa wa chama akishafika kituoni
Tumeccm malinga sana hawatakubali hizo soft maana lao ni moja! Hapa raia tuhamasishwe kuweka ulinzi kwa mawakala wetu!Umelisemea vizuri. Na wafuate ushauri wako. Lakini ilitakiwa kuwa tofauti karne hii mwaka huu. Ilitakiwa kuwe na nakala ngumu au ya kielektroniki ya utambulisho wa wakala kwa msimamizi wa kituo, ili hata akipoteza au kunyang'anywa ya kwake njiani bado akubaliwe pale.
Bonge la point, mawakala wa vyama vya upinzani wapotee majumbani kwao siku 3 kabla ya uchaguzi, watabambikwa kesi, kutekwa ama kutolewa uhai.Hii ni kengere ya kuwaamsha na kuwakumbusha tu,