Tahadhari kwa wenye vipato vya kawaida, Vioo vya simu za Google pixel ni ghali na nadra kupata mtumba, zina ustahimilivu mdogo, ikidondoka jipange

Tahadhari kwa wenye vipato vya kawaida, Vioo vya simu za Google pixel ni ghali na nadra kupata mtumba, zina ustahimilivu mdogo, ikidondoka jipange

Vioo vya lcd bei rahisi, vioo vya amoled/oled bei ghali, na jinsi resolution inavyokua kubwa na bei inaongezeka.

Kama unajijua unavunja sana vioo komaa na simu za LCD, simu kama iphone 11 kubadili kioo as cheap as 60,000 sababu ni lcd.

Japo simu za LCD zimepungua bado zipo za kutosha mtaani.
 
PIXEL 3AXL 130,000
PIXEL 3XL 140,000
PIXEL 3 130,000
PIXEL 3A 120,000
PIXEL 4 4G 300,000
PIXEL 4A 5G 290,000
PIXEL 4XL 180,000
PIXEL 5 400,000
PIXEL 5A 330,000
PIXEL 6 230,000
PIXEL 6A 300,000
PIXEL 6A 305,000
PIXEL 6PRO 240,000
PIXEL 7 320,000
PIXEL 7PRO 270,000
PIXEL 7PRO 230,000
kesho inaenda kunitoka 380000 plus fundi 20000
 
1. Samsung zina Dex unaweza kuitumia kama deki/computer connect na hdmi na tv, cheza game, angalizia mpira, angalizia movie etc.

2. Nunua vioo vya doti Aliexpress sometime chini ya laki unapata.
Asante chief...long time bro uko pw?
 
Kweli watu tupo tofauti sana. Naona Asilimia kubwa ya watu wananunua simu sababu inapiga picha vzr. Ulimwengu huu wa AI bado unategemea simu ikupe picha nzuri???. Mimi nikinunua simu I care less kuhusu camera yani kwanza huwa siangalii camera specs sababu binafsi ni kupiga kwa infinix changu nina AI tool ambayo na i prompt kumodify vyovyote navyotaka kama quality au vipi.
Unanunuaje simu kioo chake kikipasuka itaku cost laki 2 kukipata?Anyway like i said watu tupo tofauti sana naheshimu preference zenu.
 
PIXEL 3AXL 130,000
PIXEL 3XL 140,000
PIXEL 3 130,000
PIXEL 3A 120,000
PIXEL 4 4G 300,000
PIXEL 4A 5G 290,000
PIXEL 4XL 180,000
PIXEL 5 400,000
PIXEL 5A 330,000
PIXEL 6 230,000
PIXEL 6A 300,000
PIXEL 6A 305,000
PIXEL 6PRO 240,000
PIXEL 7 320,000
PIXEL 7PRO 270,000
PIXEL 7PRO 230,000
Nahitaji kioo cha pixel 6 pro
 
Back
Top Bottom