yellow java
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 1,228
- 2,234
Ninayo na ndo hii ..na hapa imedondoka imeweka crack..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simu ni nzuri ila kwa kazia hii daah inatisha asee.Madukani waweza kipata ila bei ndio hizo, kama vp nunua kioo kisha uza simu hata kwa laki 3 faida elf 10
NiuzieNa note mkuu....nina note 10 kioo nimeambiwa 450,000 ipo kabatin tu
1. Samsung zina Dex unaweza kuitumia kama deki/computer connect na hdmi na tv, cheza game, angalizia mpira, angalizia movie etc.Na note mkuu....nina note 10 kioo nimeambiwa 450,000 ipo kabatin tu
Hivi nyie watoto wake zenu wote ni mama wa nyumbani?Ndo ninayo hapa.
Wife ana tabia ya kuninyakua.
Ngoja nimwambie akipasua kioo ntamrudisha kwao
kesho inaenda kunitoka 380000 plus fundi 20000PIXEL 3AXL 130,000
PIXEL 3XL 140,000
PIXEL 3 130,000
PIXEL 3A 120,000
PIXEL 4 4G 300,000
PIXEL 4A 5G 290,000
PIXEL 4XL 180,000
PIXEL 5 400,000
PIXEL 5A 330,000
PIXEL 6 230,000
PIXEL 6A 300,000
PIXEL 6A 305,000
PIXEL 6PRO 240,000
PIXEL 7 320,000
PIXEL 7PRO 270,000
PIXEL 7PRO 230,000
Asante chief...long time bro uko pw?1. Samsung zina Dex unaweza kuitumia kama deki/computer connect na hdmi na tv, cheza game, angalizia mpira, angalizia movie etc.
2. Nunua vioo vya doti Aliexpress sometime chini ya laki unapata.
Hahaha unatoa ngapi mkuu?Niuzie
🤣🤣 ila kuna watu mnamajina na avatar za ajabu sana..😂😂hivi kwa mwanza naweza pata kweli ipo 4a5G daah mwezi unaenda wa4 huu nimeitunza tu
Nipo poa mkuu.Asante chief...long time bro uko pw?
Ona huyu ana repair simu kwa 300K Aiseee Honngerakesho inaenda kunitoka 380000 plus fundi 20000
Nahitaji kioo cha pixel 6 proPIXEL 3AXL 130,000
PIXEL 3XL 140,000
PIXEL 3 130,000
PIXEL 3A 120,000
PIXEL 4 4G 300,000
PIXEL 4A 5G 290,000
PIXEL 4XL 180,000
PIXEL 5 400,000
PIXEL 5A 330,000
PIXEL 6 230,000
PIXEL 6A 300,000
PIXEL 6A 305,000
PIXEL 6PRO 240,000
PIXEL 7 320,000
PIXEL 7PRO 270,000
PIXEL 7PRO 230,000